marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

perabet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

Featured Kimataifa

MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA GLOBAL FUND

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Mkutano wa saba wa kuwezesha mfuko wa kimataifa wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) uliofanyika New York nchini Marekani.

……………………..

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa mataifa ulimwenguni kuungana katika kutoa mchango kwa mfuko wa kimataifa wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) ili uweze kufikia lengo la kukusanya kiasi cha dola za kimarekani bilioni 18 zitakazotumika kutokomeza  magonjwa hayo duniani kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akihutubia Mkutano wa saba wa kuwezesha mfuko wa kimataifa wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) uliofanyika New York nchini Marekani.

Amesema Migogoro ya sasa ya kimataifa imepunguza juhudi za kurejesha uchumi wa nchi nyingi ulioathirika na janga la UVIKO19 na kuongeza changamoto mpya katika kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu hivyo hakuna budi wote kwa pamoja kuona haja ya kuunga mkono kazi nzuri ya Mfuko  huo wa Kimataifa ili kuendeleza mafanikio katika kukabiliana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria.

Aidha Makamu wa Rais amesema Tanzania inathamini ushirikiano wa kihistoria uliopo baina yake na Global Fund, ambao umekuwa na matokeo chanya yaliopelekea kupunguza idadi ya vifo kwa magonjwa ya Ukimwi ,Kifua Kikuu na Malaria.

Ameishukuru  Bodi ya Global Fund  kwa kuinga mkono Tanzania kwa miaka mingi  pamoja na  kuzishukuru na kuzipongeza Serikali, Mashirika, Taasisi na watu binafsi wote kwa michango yao kwa  Mfuko  huo kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita.

Makamu wa Rais amesema Tanzania imejitolea kufikia lengo la kimataifa la kukomesha ugonjwa wa Ukimwi  ifikapo 2030 kwa kutumia teknolojia mpya na mikakati ya kibunifu.

Ameongeza kwamba licha ya mafanikio yaliopatikana katika kukabiliana na Ugonjwa wa Ukimwi , Kifua Kikuu na Malaria , bado Tanzania inakabiliwa na changamoto ya  maambukizi mapya hususani kwa vijana wenye umri wa miaka 15-24.

Pia amesema katika kukabiliana na Kifua Kikuu bado taifa linakabiliwa  na vikwazo kama vile upatikanaji mdogo wa huduma za uchunguzi wa ugonjwa huo  hasa katika maeneo yenye watu muhimu na walio hatarini ikiwa ni pamoja na wafanyakazi wa migodini, wavuvi na wafungwa.

Katika Mkutano huo,Tanzania imeahidi kuchangia dola za marekani milioni moja kwa mfuko wa kimataifa wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) ili kuuwezesha kufanya kazi hiyo kwa ufanisi.

Leo tarehe 22 septemba 2022 Makamu wa Rais anatarajia kuhutubia  Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA) kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Mkutano wa saba wa kuwezesha mfuko wa kimataifa wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) uliofanyika New York nchini Marekani.

About the author

Alex Sonna