marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA: TUKIO LA OKTOBA 29 HALIKUWA LA BAHATI MBAYA, LILIRATIBIWA

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema matukio ya vurugu yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yalikuwa ya kushtua na kutikisa ustawi wa taifa, akibainisha kuwa uchunguzi rasmi umebaini kuwa yalipangwa kwa makusudi, yaliratibiwa na pia kufadhiliwa ili kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi na kudhoofisha amani ya nchi.

Rais Samia ameyasema hayo leo Ikulu jijini Dar es Salaam wakati alipokabidhiwa rasmi ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea katika kipindi cha uchaguzi huo.

Amesema ni muhimu kwa Watanzania kukubali na kuzungumza ukweli kuhusu kilichotokea, akisisitiza kuwa matukio hayo ni funzo kubwa linalopaswa kutumika kuimarisha mustakabali wa taifa na kulinda amani ya kudumu.

“Tusijidanganye, yaliyotokea wakati ule yalitikisa taifa letu. Kwa kweli yalikuwa changamoto kubwa na tumepata somo muhimu,” alisema Rais Samia.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo ya tume, imebainika kuwa baadhi ya watu waliohusika katika vurugu hizo walikuwa wamepata mafunzo maalum, na walitumia vifaa vya uhalifu vilivyolenga kuharibu miundombinu muhimu ya nchi pamoja na kusababisha hofu na taharuki kwa wananchi.

Aidha, ripoti hiyo inaeleza kuwa lengo kuu la matukio hayo lilikuwa kuvuruga mchakato wa uchaguzi, kushambulia miundombinu ya msingi ya taifa, pamoja na kuathiri utoaji wa huduma za kijamii ili hatimaye kudhoofisha uchumi na utendaji wa Serikali.

“Vurugu zilianza siku ya uchaguzi, zikilenga mfumo mzima wa nchi,” aliongeza Rais Samia.

Katika hotuba yake, Rais Samia pia amevipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa jitihada zao za haraka na za ufanisi zilizosaidia kurejesha hali ya utulivu wakati wa na baada ya matukio hayo, hatua iliyosaidia kuzuia madhara makubwa zaidi kwa wananchi na taifa kwa ujumla.

Amesisitiza kuwa Serikali itaendelea kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha kuwa amani, utulivu na demokrasia ya nchi vinalindwa kwa nguvu zote.

About the author

Alex Sonna