Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI ATETA NA SHEIKH MORARI BAPU WA JUMUIYA YA HINDU KUTOKA INDIA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake  Sheikh.Morari Bapu wa Jumuiya ya Hindu kutoka Nchini India, alipofika Ikulu na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Sheikh Morari Bapu wa Jumuiya ya Hindu na Ujumbe wake kutoka Nchini India, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

About the author

mzalendoeditor