Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Michezo

VIONGOZI WETU WANAMATUMAINI NA MICHEZO YA FEASSSA-MAJALIWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha

 …………………………………………….

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanamatumaini makubwa kuwa mashindano ya shule za msingi na Sekondari za Afrika Mashariki (FEASSSA) yataendelea kuwa chachu kwa nchi washirika kuendelea kuthamini michezo.

Amesema kuwa viongozi hao wanaamini kupitia michezo hiyo ya FEASSSA itaendelea kusaidia katika kukuza ajira, kustawisha jamii, uchumi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa.

Amesema hayo leo (Jumapili, Septemba 18, 2022) wakati akizindua Mashindano ya michezo ya shule za msingi na za Sekondari kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

Mheshimiwa Majaliwa ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa Mamlaka zote zinazosimamia elimu katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendelea kuwajengea mazingira rafiki vijana wanaoshiriki michezo ya FEASSSA ili kutanua wigo wa ushindani ndani na nje ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

“Ni vyema sasa viongozi wa FEASSSA kushirikiana kwa karibu na vyama vya michezo katika nchi za Afrika Mashariki na vilabu vya michezo mbalimbali kutupia macho vipaji vinavyopatikana katika mashindano haya ya wanafunzi ili kupata wachezaji watakaokuwa na mwendelezo na kuvitumikia vilabu vyao.”

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amewataka viongozi wa Mashirikisho ya Michezo ya shule katika kila nchi husika kuwa na mipango ya pamoja ya muda mfupi na muda mrefu ya maendeleo ya michezo ya shule. “Mipango hiyo itumike kuhamasisha utekelezaji wa mikakati ya kuendeleza michezo katika taasisi za elimu ndani ya Jumuiya.”

Amesema ni vyema pia viongozi wa chama hicho kutoa fursa kwa walimu wa michezo wa nchi wanachama kubadilishana uzoefu ili kuboresha ufundishaji wa michezo shuleni.

Mheshimiwa Majaliwa amesema michezo hii ya FEASSSA itasaidia kuwafanya wanafunzi kuwa na afya njema ya akili na mwili, hivyo kuboresha ufundishaji na kuendeleza vipaji vya wanamichezo mahiri.

“Ni wazi kuwa matatizo mengi ya kiafya kwa wanadamu yanaongezeka kutokana na mfumo mpya wa maisha tunayoishi ambao hautupi muda wa kushiriki shughuli za michezo. Watu wanaoshiriki katika michezo imewasaidia kupunguza matatizo mengi ikiwemo matatizo ya msongo wa mawazo, shinikizo la damu, kisukari na uzito uliopitiliza”.

Awali, akizungungumza katika uzinduzi huo Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mheshimiwa David Silinde amesema, anamshukuru Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa dhamira yake ya dhati ya kuwezesha na kuendeleza michezo hususan katika shule za msingi na sekondari.

“Lengo la FEASSSA ni kuimarisha umoja, mshikamano na kuwajengea vijana wetu uzalendo.”

Naye, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Michezo vya Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA) Justus Mugisha Amesema moja ya malengo ya Michezo hiyo ni kuhakikisha wanazalisha vijana wataoweza kushiriki katika michezo mbalimbali ili kuzitangaza nchi za Afrika Mashariki.

“Tunajua vijana hawa hapo baadae watakuwa sehemu ya timu zetu za Taifa na hatimaye kuitangaza jumuiya yetu, hii ndio maana tunaamini katika michuano ya mashule Ikiwemo hii ya FEASSSA.”

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha,

 Baadhi ya washiriki wa  mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kwenye uwanja wa  Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira Paul  Okumu ambaye ni Kipa  wa timu ya soka ya  Shule ya Sekondari  Upili  ya   High Way   jijini Nairobi  Kenya wakati alipofungua mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  timu ya soka ya Shule ya Sikondari   Upili ya High Way   jijini Nairobi  Kenya wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha, Septemba 18, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna