Featured Kimataifa

SPIKA DKT.TULIA ATETA NA MABALOZI WA NCHI ZA UMOJA WA ULAYA BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Mhe. Manfredo Fanti (kulia kwake) pale ugeni kutoka Mabalozi wa Nchi za Umoja wa Ulaya walipomtembelea leo tarehe 15 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mabalozi wa Nchi za Umoja wa Ulaya wakiongozwa na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Mhe. Manfredo Fanti (kulia kwake) walipomtembelea leo tarehe 15 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akionyesha zawadi ya vitabu alivyopewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Mhe. Manfredo Fanti (kulia kwake) pale ugeni wa Mabalozi wa Nchi za Umoja wa Ulaya walipomtembelea leo tarehe 15 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi za Umoja wa Ulaya wakiongozwa na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Mhe. Manfredo Fanti (kulia kwake) walipomtembelea leo tarehe 15 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendoeditor