Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA SEKTA YA MAJI MJINI UNGUJA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Waziri wa Maji, Nishati na Madini Mhe.Shaibu Hassan Kaduara pamoja na Viongozi wengine wakati alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar leo kufungua Kongamano la Kimataifa la Maji lililotayarishwa Wizara kwa kushirikiana na Global Water Partnership Tanzania (GWP TZ) na  taasisi mbali mbali

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr.Adam O.Karia  wakati akitembelera maonesho ya Sekta ya Maji katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja , wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli hiyo 

WASHIRIKI wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja lililofanyika 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Sekta ya Maji lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Maji kutoka Nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akifungua   Kongamano la Kimataifa la Maji leo   linaloendelea katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar.

Waziri wa Maji, Nishati na Madini Mhe.Shaibu Hassan Kaduara alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kulifungua Kongamano la Kimataifa la Maji linaloendelea katika ukumbi wa Golden Tulip Hotel Kiembesamaki Zanzibar,

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Bw.Joseph John Kilangi (kulia) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara katika Kongamano la Kimataifa la Maji katika Ukumbi wa Golden Tulip Hotel Kiembesamaki Zanzibar,lililofunguliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. 

Meneja Program Westen Indian Ocean  Marine Science Association (WIOMSA) Dr.Valentine Ochanda alipokuwa akita tariff yake katika Kongamano la Kimataifa la Maji liliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Ukumbi wa Golden Tulip Hotel Kiembesamaki Zanzibar

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Water  Partnership Tanzania (GWP TZ) Dr.Victor Kongo (kulia) akitoa taarifa yake katika Kongamano la Kimataifa la Maji katika Ukumbi wa Golden Tulip Hotel Kiembesamaki Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma kipeperushi wakati akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya L&T Construction Water Effluent kutoka India,yaliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji lililofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza akimsikiliza Menaja Biashara wa ZECO Ndg. Thabit Salum Khamis, wakati akitembelera maonesho ya Sekta ya Maji katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja , wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli hiyo .

Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor