RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al – Mustafa kutoka Nchini Iran Dr.Ali Abbasi (mwenye kilemba) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-9-2022 na (kulia kwa Rais) Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe.Hossein Alvandi Bahineh.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungunza na Ujumbe wa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al- Mustafa kutoka Nchini Iran ukiongozwa na Rais wa Chuo hicho Dr.Ali Abbasi na (kulia kwa Rais) Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe,. Hossein Alvandi Bahineh, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungunza na Ujumbe wa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al -Mustafa kutoka Nchini Iran ukiongozwa na Rais wa Chuo hicho Dr.Ali Abbasi,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mgeni wake Rais wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa cha Nchini Iran Dr. Ali Abbasi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyoyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022, na (kulia kwake) Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe.Hossein Alvandi Bahineh.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe. Hossein Alvandi Bahineh, baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa kutoka Nchini Iran, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
(Picha na Ikulu)