Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO WA NJE WA JIJI LA DODOMA

Written by mzalendoeditor

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza  Kaimu Meneja wa Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS ) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi  Salome Kabunda ( kushoto) ambaye alikuwa akisoma taarifa ya mradi wa ujenzi  kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje  wa jiji la Dodoma yenye urefu wa  kilomita 112.3,  Septemba 4, 2022. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitazama sampuli za udongo wakati alipotemblea maabara ya mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama makaravati wakati alipokagua mradi  wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje  wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3  wakati alipokagua mendeleo ya ujenzi huo,  Septemba 4, 2022.  Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na wa tatu kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Fatma Mganga.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi  (Uchukuzi), Atupele Mwakibete wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje  wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3,  Septemba 4, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi  (Uchukuzi), Atupele Mwakibete (wa pili kulia) wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje  wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3,  Septemba 4, 2022. Wa pili kushoto ni Mkuu w Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na kulia ni Kaimu Meja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS ) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi  Salome Kabunda. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza  Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS ) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi  Salome Kabunda ( kulia) ambaye alikuwa akisoma taarifa ya mradi wa ujenzi  kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje  wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3  wakati alipokagua mendeleo ya ujenzi huo,  Septemba 4, 2022. Wa pili kushoto ni  Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi  (Uchukuzi), Atupele Mwakibete na wa tatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu ) Caspar Mmuya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor