Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI, SPIKA WA BUNGE LA ZAMBIA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Katibu Mkuu wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Spika wa Bunge la Zambia, Mhe. Nally Mutti wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada leo Agosti 26, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor