Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

grandpashabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

SERIKALI KUWEKEZA MIRADI YA KIMKAKATI KWENYE MAKAZI YA WAZEE NCHINI

Written by Alex Sonna

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akisalimiana na mmoja wa Mzee anayehudumiwa katika Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro.

………………………

Na WMJJWM, Morogoro

Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imejipanga kushirikiana na Wizara za kisekta na wadau mbalimbali ili kuboresha huduma katika Makazi ya Wazee nchini ikiwemo kutathimini matumizi ya ardhi na kuona fursa zilizopo kwa ajili ya kuanzisha miradi ya Kimkakati kwenye maeneo hayo.

Hayo yamebainika wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara katika Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju amesema kuwa, Serikali imekuja na mikakati ya kuwekeza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuwataka wananchi wanaozunguka maeneo hayo kutovamia maeneo hayo ili yabaki yatumike kwaajili ya kuhudumia Wazee.

Aidha Mpanju amewasihi Wazee kujitokeza katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ili kuwa na takwimu sahihi za Wazee zitakazosaidia Serikali kuweka mipango na mikakati kwaajili yakuwahudumia Wazee nchini.

Naye Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya) Dkt. Grace Magembe amesema Wazee ni hazina na Serikali itaendelea kuwatunza na kuwahudumia ili kuhakikisha wanaishi katika amani na utulivu kwa kuwawekea mazingira salama.

Ameeleza kuwa suala la kuwatunza Wazee nila jamii, hivyo jamii iwajibike kuwalea na kuwatunza Wazee na kuona jukumu hilo ni la Jamii nzima kwa kushirikiana na wadau. 

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashir Abdalah amesema kuwa kwa upande wa Wizara hiyo itashirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii ili kuhakikisha maeneo ya Makazi hayo yanatumika katika kuanzisha miradi ya Kimakakati.

Ameongeza maeneo yalipo katika Makazi hayo yanaweza kutumika kwa ajili yakuwekeza katika miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa maslahi mapana ya kuwahudumia Wazee katika Makazi hayo kutokana na mapato ya miradi hiyo.

Akitoa taarifa ya Makazi ya Wazee FungaFunga Afisa Mfawidhi wa Makazi hayo Rehema Kombe, amesema Makazi hayo yanahudumia Wazee 21 kwa sasa, ambao wanapatiwa huduma muhimu za malazi, chakula, huduma za afya na msaada wa Kisaikolojia kwa wazee hao.

Ameongeza kuwa Makazi hayo mbali na kuwahudumia Wazee hao lakini lengo ni kuwa na mradi wa kulima mbogamboga ambapo inahusisha Makazi hayo na wananchi wanazunguka eneo hilo ambapo ulimaji huo unawezesha kuzalisha mbogamboga kwa ajili ya Wazee na kuongeza kipato.

“Sisi kwetu ni mafanikio kuona Wazee wanaweza kufanya kazi nyepesi nyepesi kwa mfano kulima mbogamboga katika eneo hilo kwani inawasaidia kuchangamka na kuendelea na maisha” alisema Rehema 

Wakizungumza katika ziara hiyo Wazee Makazi ya Wazee FungaFunga wameishukuru Serikali kwa kutoa huduma ya muhimu katika Makazi hayo.

Ziara hiyo imejumuisha wadau kutoka WHO TASAF na wadau wengine wa maendeleo.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akizungumza wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwenye Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya) Dkt. Grace Magembe akizungumza wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara katika Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro. 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashir Abdalah akizungumza katika ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara wakati wa Ziara ya Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro.

Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando akifafanua jambo mbele ya Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara walipotembelea Makazi hayo.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akisalimiana na mmoja wa Mzee anayehudumiwa katika Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro.

Manaibu Makatibu Wakuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya) Dkt. Grace Magembe, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashir Abdalah wakikagua eneo la Kilimo cha mbogamboga lililopo katika Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

About the author

Alex Sonna