Featured Michezo

WAZIRI MKUU AKAGUA MATENGENEZO UWANJA WA MAJALIWA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua uwanja wa Majaliwa baada ya kukamilika kwa sehemu kubwa ya maboresho ya uwanja huo, Ruangwa Mkoani Lindi Agosti 19, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telak na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Hassan Ngoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia nguzo ya goli wakati alipokagua uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa Mkoani Lindi, ambao umefikia asilimia 98 ya maboresho baada matengenezo yake

Muonekano wa Uwanja wa Majaliwa ulipo Ruangwa Mkoani Lindi ambao umefikia asilimia 98 ya maboresho baada matengenezo yake.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Ruangwa Mkoani Lindi, wakati alipokagua uwanja wa Majaliwa ambao umefikia asilimia 98 ya maboresho baada matengenezo yake.

About the author

mzalendoeditor