Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

matbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

norabahis

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren casino siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

sweet bonanza

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

holiganbet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

vdcasino

marsbahis

matbet

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

marsbahis

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

perabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

pokerklas

betkare

imajbet

betpark

betpark

bets10

Featured Kitaifa

CCM YAKEMEA TABIA YA BAADHI YA WATUMISHI WA HALMASHAURI KUKWAMISHA MIRADI YA MAENDELEO KWA KUTAKA RUSHWA ‘TEN PACENT

Written by Alex Sonna
Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka, Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Sikonge waliohudhuria mkutano wakati wa Ukaguzi wa maendeleo ya Upanuzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo.
……………………………..
Na Mwandishi Wetu, Sikonge
CHAMA Cha Mapunduzi (CCM) kimekemea tabia ya baadhi ya watumishi wa halmashauri nchini kukwamisha miradi mbalimbali ya maendeleo kwa sababu ya kutaka ‘Ten Pacent’ (rushwa) kutoka kwa wakandarasi, hali inayosababisha miradi kutokamilika au kufanyika.
Akizungumza jana na wananchi wa Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka alisema Chama kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa baadhi ya watumishi hao wanakwamisha miradi ya maendelo kwa kutaka rushwa kwa wakandarasi wanaotekeleza miradi hiyo.
“Tumekuja kukagua uhai wa Chama chetu na utekelezaji wa Ilani, Chama chetu ndicho kimeunda Serikali, nichukue fursa hii kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa fedha nyingi za maendeleo, anazopeleka kwenye wilaya mbalimbali ikiwemo hii ya Sikonge. Sasa fedha nyingi zilizoletwa ziendane na kasi za utekelezaji wa maendeleo endelevu ambayo Rais ameelekeza yafanyike kupitia miradi ya kimkakati.
“Bahati nzuri Rais Samia anajua na anafahamu mahitaji ya wanachi anawaongoza, kwa hiyo kila wilaya na kila Mkoa ametoa vipaumbele na kipaumbele cha kwanza ni huduma za afya kwa jamii na ndio maana hata Wilaya ya Sikonge kwenye hospitali hii ya Wilaya Rais ametoa Sh. bilioni mbili.
“Sasa ujenzi huu wa miradi hii mikubwa ya maendeleo uendane na utoaji bora wa huduma kwa wananchi, majengo haya ambayo yanajengwa , vitendea kazi ambavyo vinawekwa, kwa sababu lazima niseme jambo moja ambalo rais amelifanya anajenga majengo na wakati huo huo analeta na vifaa tiba,” alisema Shaka.
Aliongeza kuwa katika historia ya nchi hii, Rais Samia amekuwa wa kipekee kwani huko nyuma majengo yalikuwa yanajengwa baadae yanabaki kuwa mazalia ya ndege, lakini leo hii wanajenga na wanaweka vifaa vya kisasa, niwaombe wauguzi, madaktari pamoja na wote ambao mnahusika kwa njia moja ama nyingine katika kutoa huduma za afya kwa wananchi lazima wawe rafiki kwa wateja wao.
“Lazima mtengeneze mazingira bora ya kuhakikisha huduma hizi ziendane na kasi ambayo Rais wetu amekuwa akiionesha , bahati mbaya sana na kwa masikitiko makubwa na hili naomba niseme kwenye baadhi ya wilaya ikiwemo hii ya Sikonge kwenye miradi hii ya maendeleo kasi ya uendelezaji na ukamilishaji miradi sio nzuri.
 “Haifurahishi kabisa kasi , fedha zinakuja kwenye halmashauri lakini kasi ya ukamilishwaji wa miradi na uanzishwaji wa miradi imekuwa ikisuasusa jambo hilo sio nzuri ,spidi ya Rais Samia kwenye miradi ya maendeleo ni kubwa mno.Sasa panapotokea sehemu pakalegalega , mambo yakawa yanaenda kama ambavyo hatukuyatarajia  Chama hatuwezi kufunga funga maneno na hatuwezi kukaa kimya,”alisema Shaka.
Aliwaomba waliopewa dhamana ya katika Serikali watimize wajibu wao wa kumsaidia Rais Samia kutektekeleza yale aliyoyakusudia kwa wananchi badala ya kuwa sehemu ya wakwamishaji.
“Kwenye hili sitafungafunga maneno halmashauri ya Sikonge itabidi mjitathimini na mambo hayaendi vizuri , wako maofisa wamekuwa ni sehemu ya ukwamishaji wa baadhi ya miradi ya maendeleo, haiwezekani miradi hii inakwama wakati mwingine kwasababu ya wakandarasi kuombwa rushwa iliyokithiri ili ndio wakamilishe hii miradi.
“Taarifa tunazo  na tunawajua wanaofanya haya tunawajua , narejea tena taarifa tunazo baadhi ya watumishi wa halmashauri mjitathamini mnachokifanya sio sahihi.Sababu moja ya kukwama miradi hii isianze kwa wakati, sababu moja ya  miradi hii kutokamilika kwa wakati baadhi ya watumishi wa halmashauri  mnataka cha juu kikubwa , mnawakwamisha wakandarasi,”alisema.
Shaka alisema kwa hiyo wanaposema shughuli za maendeleo zinasuasua na haikamiliki kwa wakati kuna watu wanakwamisha, na hivyo ameomba TAKUKURU wafanye kazi yao na wakitaka CCM inaoneshe njia watawaonesha kwani wanafahamu yanayofanyika.
Aliwataka watendaji waliokabidhiwa dhamana katika halmashauri kuhakikisha wanawafikia waanchi katika maeneo wakiwemo wa vijijini ili kuwasikiliza na kutatua shida zao ambapo ametoa mfano wilayani Sikonge kuna baadhi ya maeneo wananchi wanalalamika kutofikiwa watumishi.
“Tumsaidieni Rais Samia kuwafikia wananchi kutatua kero zao na changamoto zao, ndio jukumu tulilopewa, tusipofanya hivyo itakuwa sehemu ya kukwamishana na mambo hayataenda vizuri,” alisema.
UDHALILISHAJI KINGONO
Katika hatua nyingine Shaka alitumia nafasu hiyo kukemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge.
“Nataka niseme na hili la udhalilishaji wanawake kingono, nimelikuta Kaliua na lipo Sikonge, lakini hata kwenye maeneo mengine kwa watumishi wa umma, ujumbe umefika, wenye hiyo tabia waache,  waache kuwadhalilisha dada zetu, waache kuwadhalilisha mama zetu, waache kuwadhalilisha ndugu zetu wa kike hapa Sikonge, hiyo tabia imeshamiri kwa sababu tu kuna mtu anadhamana, ana fursa ya kuwasaidia wengine.
“Hamuwasaii mama zetu, hamsaidii dada zetu  mpaka muwadhalilishe kingono, Chama kinafuatilia kwa karibu sana, hataturahusu udhalilishaji wa aina yoyote kwa wanawake ndani ya nchi hii, wanawake hawa wanauwezo mkubwa sana katika kufungua fursa za maendeleo katika taifa letu.
“Wakithubutu akina mama wanaweza, hatuwezi kuacha uthubutu wao kwa sababu tu sisi akina baba baadhi yetu tunashindwa kuzuia hisia zetu, tena sio kushindwa kuzuia hisia zetu ila hatuna adabu tu, ni utovu wa adabu tuliokuwa nao,” alisema.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, akitazama mitambo katika kiwanda cha kuchakata asali wilayani Sikonge, Mkoa wa Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM mkoani humo. (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).
Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka, Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Sikonge waliohudhuria mkutano wakati wa Ukaguzi wa maendeleo ya Upanuzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo
Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka Akizungumza na Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora kwa Njia ya Simu wakati akitatua Changamoto ya Ukosefu wa Huduma ya Maji kwa wananchi wa kata ya Tumbi.
Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka, akisoma moja ya mabango ya Wananchi waliofika katika ziara ya ukaguzi wa Kiwanda Nyuzi Mkoani Tabora
Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka, Akifurahi wakati akizungumza na Wananchi, katika ziara ya ukaguzi wa Kiwanda Nyuzi Mkoani Tabora.

About the author

Alex Sonna