slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

perabet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI MALORI KWA TANAPA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria kuzindua Malori maalum yatakayotumika na TANAPA katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) katika hafla iliofanyika katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro

………………………..

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 17 Agosti 2022 amezindua na kukabidhi Malori maalum 44 yenye thamani ya Shillingi billioni 14.77 kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) yalionunuliwa kupitia Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW). Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro.

Akihutubia Viongozi, Maafisa, Askari na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika hafla hiyo, Makamu wa Rais amesema serikali imedhamiria kuimarisha miundombinu ya vivutio vya utalii vilivyopo Ukanda wa Kusini hususan ujenzi wa barabara na viwanja vya ndege ndani ya Hifadhi pamoja na kutangaza ipasavyo eneo hilo ili kuendeleza utalii katika Ukanda huo. Ameongeza kwamba mradi huo ukitekelezwa ipasavyo utasaidia kuongeza fursa kwa mwananchi, kwani unalenga kutoa ajira zaidi ya 40,000 kwa wakulima na wananchi wanaoishi jirani na hifadhi za ukanda wa Kusini,kuhamasisha kilimo cha kisasa na kuchochea sekta nyingine ambazo zinachangia ukuaji wa uchumi.

Makamu wa Rais ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii na wadau wote wa utalii kwa ujumla, kuwa wabunifu katika kutangaza vivutio vilivyopo nchini Tanzania. Amewasihi kuhakikisha wanaongeza maeneo ya kitalii ambayo yana ladha mbalimbali za kitalii na kuvitangaza. Amewaasa watoa huduma wa sekta binafsi kutumia fursa ya uwepo wa idadi kubwa ya watalii nchini kuwekeza katika kujenga hoteli katika hifadhi.

Aidha Makamu wa Rais ameagiza Wizara ya Ardhi, Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na TAMISEMI kwa kushirikiana na wadau wengine kuhakikisha maeneo yanayopimwa kwa ajili ya mashamba, miradi au makazi yasiwe njia za wanyama pori. Amesema kumekuepo ongezeko la malalamiko kuhusu watu kupewa mashamba na viwanja kwenye mapito ya wanyama na hivyo kusababisha migogoro ya ardhi na hasara kubwa.  Pia amewaagiza Wakuu wa Mikoa ,TANAPA na TAWIRI kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya yeyote atakaebainika kuingiza mifugo katika maeneo ya hifadhi na mapori tengefu.

Kwa upande wake Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema mradi wa REGROW unatekelezwa katika vijiji 61 ambavyo vipo Jirani na hifadhi za kipaumbele  ikiwa lengo kuu ni kuwapa faida ya uhifadhi wa maliasili muhimu kwa nchi hasa katika kuchangia katika uchumi wa nchi kwa ujumla na mtu mmoja mmoja. Amesema Miongoni mwa faida watakazopata wakazi hao ni pamoja na ajira zitakazotokana na miradi watakayopendekeza wao wenyewe na pia mradi utatoa ufadhili wa masomo kwa vijana kutoka vijiji hivyo kuanzia vyuo vya ngazi ya kati kama VETA, Chuo cha Utalii (NCT), Chuo cha Ufugaji Nyuki (BTI) na Chuo cha Mafunzo ya Wanyamapori Pasiansi (PWTI) na Vyuo vya Elimu ya Juu kama vile Chuo Kikuu cha Sokoine pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Awali akitoa taarifa ya mkoa, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa ameiomba serikali kurudisha mpango wa ujenzi wa barabara iliolenga kupita nje ya hifadhi ili kusaidia kupunguza vifo vya wanyama vitokanavyo na ajali, kupunguza takataka zinazotokana na watumiaji wa barabara hiyo pamoja na uwepo wa geti la udhibiti litakalotumika kudhibiti wanaoendesha mwendokasi hifadhini.

Amesema mkoa unaendelea na juhudi za kutangaza utalii ikiwa pamoja na kuwaomba wadau wa utalii kuwekeza katika miundombinu ya malazi ili kuboresha sekta hiyo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi, ,Maafisa , Askari na Wananchi mbalimbali  katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro  wakati wa Hafla ya kukabidhi Malori maalum kwa TANAPA yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW). tarehe 17 Agosti 2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria kuzindua Malori maalum yatakayotumika na TANAPA katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) katika hafla iliofanyika katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro leo tarehe 17 Agosti 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akimkabidhi mfano wa funguo ya gari Waziri wa Maliasili mna Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana kuashiria kukabidhi rasmi Malori maalum yatakayotumika na TANAPA katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) katika hafla iliofanyika katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro leo tarehe 17 Agosti 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akikagua moja ya gari karakana lililokabidhiwa kutokana na  Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) katika hafla iliofanyika katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro leo tarehe 17 Agosti 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa uhifadhi na mwenyeviti wa bodi kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Uhifadhi Ngorongoro. Kushoto ni  Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, na Katibu Mkuu wa Wizara  hiyo Prof. Ealiaman Sedoyeka na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo Doroth Mwamsiku. Tarehe 17 Agosti 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakazi wa wilaya ya Kilosa eneo la Mikumi waliojitokeza katika Hafla ya kukabidhi Malori maalum kwa TANAPA yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW).

About the author

Alex Sonna