marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

parmabet giriş

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

Featured Kitaifa

MAWAZIRI PITIENI UPYA MIKATABA – MAJALIWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga kikaokazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

………………………………………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wapitie upya mikataba ambayo nchi kupitia wizara zao zimeingia na nchi mbalimbali kwenye sekta zao ili kubaini maeneo ambayo yanahitaji kukamilishwa na kufanyiwa kazi.

Amesema ni muhimu Wizara zenye majadiliano ya mikataba na nchi nyingine zizingatie umuhimu wa majadiliano hayo na kutumia wataalamu wenye uzoefu kwenye maeneo hayo.

Amesema hayo leo (Ijumaa, Agosti 12, 2022) wakati akifunga kikao kazi cha Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu wao, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.

Mheshimiwa Majaliwa amesisitiza kuwa Ofisi ya Rais TAMISEMI, izingatie maelekezo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha kuwa Halmashauri zote nchini zinakuwa na makadirio stahiki katika malengo ya ukusanyaji wa mapato katika mwaka ujao wa fedha sambamba na kuimarisha na kuibua vyanzo vipya vya mapato.

“Tusijivunie tu kukusanya asilimia mia moja wakati tumekadiria mapato kidogo na kuna fursa ya kukusanya zaidi, mabaraza ya madiwani na watendaji wetu wafanye mapitio ya maeneo yote ya makusanyo kuona eneo hilo kwa mwezi wanakusanya kiasi gani na kujiridhisha kama ndiyo mapato halisi yanayokusanywa.”

Aidha, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango ifanye uchambuzi wa Mpango wa kuikwamua Afrika Kiuchumi, hususani Tanzania na kuainisha fursa zilizopo na iweke mikakati ya kuzitumia.

“Suala hili lifanywe kwa haraka kwani mwelekeo wa Mheshimiwa Rais kwenye suala la uchumi hasa wa kilimo ni kuwachochea Watanzania kujikwamua kiuchumi. Tusipoteze fursa hii kama ina tija kwa nchi,” amesisitiza.

Kadhalika ameziagiza Wizara ya Fedha na Mipango, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakutane na kujadili kwa pamoja mwingiliano wa kisheria kuhusu suala la uhakiki wa uthamini wa fidia wanazopaswa kulipwa wananchi baada ya Mthamini Mkuu wa Serikali kufanya uthamini wa maeneo yanayopaswa kulipwa fidia.

Waziri Mkuu alihitimisha kwa kuwataka Mawaziri kuzingatia yale yote yote yaliyojadiliwa ili yakawe chachu ya kuleta ufanisi pamoja na kuondoa dosari ndogo ndogo zilizojitokeza katika utendaji. “Pale penye tija tukaongeze bidii lengo likiwa ni kutoa huduma bora kwa wananchi kama ilivyo dhamira ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.”

About the author

Alex Sonna