Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

betnano

meritbet

ikimisli

ikimisli

norabahis

Featured Kitaifa

MAJALIWA AZINDUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA KANISA LA TAG JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati  alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Uzinduzi wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God  (TAG) jijini Dodoma

***********************

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na madhehebu yote ya dini katika nyanja mbalimbali ili kukuza na kuimarisha ustawi wa wananchi kiuchumi na kijamii.

“Sote tumeshuhudia jinsi Serikali inavyoweka mazingira mazuri ya kuwekeza kwa ujenzi wa miundombinu muhimu ya barabara na madaraja, reli ya kisasa, vivuko, meli na usafiri wa anga. Jitihada hizi zote pamoja na kuimarisha uzalishaji wa umeme, gesi na maji hapa nchini zinafanyika kwa lengo la kuboresha ustawi wa maisha ya Tanzania.”

Mheshimiwa Majaliwa ametoa kauli hiyo leo (Ijumaa, Agosti 12, 2022) alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia katika ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies Of God (TAG) katika Chuo cha Biblia Miyuji, Dodoma. Jengo hilo litakuwa na ofisi mbalimbali za kiutendaji za TAG pamoja na kutoa mafunzo ya uzamili na uzamivu kwa viongozi na wachungaji mbalimbali kutoka Bara la Afrika na maeneo mengine duniani.

“Serikali inaelewa kwamba Maendeleo ya nchi yanahitaji ushiriki wetu sote. Tukiimarisha ushirikiano na kila mtu, tutaleta maendeleo ya Taifa. Kwa kuzingatia hayo, Serikali imekuwa ikishirikiana na Sekta binafsi zikiwemo Taasisi za dini katika kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi na kuleta maendeleo ya Taifa.”

 Amesema kanisa la TAG, pamoja na taasisi nyingine za kidini zimekuwa mstari wa mbele katika utoaji wa huduma mbalimbali zinazogusa jamii kama elimu, afya na huduma nyingine muhimu kwa jamii ambazo Serikali pekee isingeweza kuzifikisha kwa wananchi mara moja.

 “Kipekee nilipongeze sana kanisa la TAG kwa kutoa huduma ya elimu kupitia shule zenu za msingi na sekondari ambazo ziko ndani ya mikoa mbalimbali hapa nchini. Nimeelezwa mnazo shule za msingi 10 na shule tano za sekondari zilizokamilika na kwamba nyingine nane ziko katika hatua mbalimbali za ujenzi. Halikadhalika mnavyo vyuo vya ufundi stadi 2 lakini hamkuishia hapo sasa manataka kujenga chuo kikuu hapa Dodoma, hongereni sana.”

Akizungumzia kuhusu malalamiko ya TAG ya kucheleweshwa kumilikishwa ardhi katika eneo la Chigongwe, amemtaka Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Joseph Mafuru ahakikishe suala hilo linashughulikiwa haraka na ndani ya siku saba awasilishe taarifa kwake. TAG linataka kujenga chuo kikuu katika eneo hilo.

Naye, Askofu Mkuu wa TAG, Baba Askofu Mkuu Dkt. Barnabas Mtokambali amesema Kanisa la TAG pamoja na jukumu la kiroho la kanisa la kuwafanya watu wote waache maasi na kurejea kwa Muumba wao, pia lina wajibu wa kujihusisha na maendeleo ya kijamii yanayogusa mtu kiroho, kimwili, kiakili, kihisia, na kijamil.

“Kwa kuzingatia hayo, kanisa la TAG; katika mpango mkakati wake wa miaka 13 (2020 – 2033), limeweka mkakati wa kujenga shule za msingi na sekondari kila mkoa, vituo vya watoto yatima, vituo vya afya kila mkoa, visima wya maji vijijini, vyuo vya elimu na afya, chuo kikuu hapa Dodoma na miradi mingine ya maendeleo ya kanisa na jamii kwa ujumla.”

Kadhalika, Askofu Dkt. Mkotokambali ametumia fursa hiyo kumpongeza Mheshimiwa Rais Samia kwa kudumisha amani na mshikamano wa kitaifa, pamoja na kusimamia jitihada mbalimbali za kuhakikisha miradi yote ya kimkakati inasonga mbele na kuibua miradi mingine mipya.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Uzinduzi wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God  (TAG) jijini Dodoma, Agosti 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God  (TAG) ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alilizindua jijini Dodoma, Agosti 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Baadhi ya washiriki wakimsikiliza  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza akimuwakilisha  Rais Samia Suluhu Hassan katika Uzinduzi wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God  (TAG) jijini Dodoma, Agosti 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna