marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

ibizabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

WAZIRI MAKAMBA:’MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME WA TANZANIA-ZAMBIA KUKAMILIKA JANUARI 2025′

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Itumbi, wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya baada ya kufika kijijini hapo kukagua kazi ya usambazaji umeme, kusikiliza kero za wananchi pamoja na kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akisalimiana na baadhi ya wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Itumbi, wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya baada ya kufika kijijini hapo kukagua kazi ya usambazaji umeme, kusikiliza kero za wananchi katika kijiji hicho pamoja na kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.

……………………………………

Imeelezwa kuwa, mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme  ya  kV 400 kutoka Iringa-Tanzania hadi nchini Zambia (TAZA) utaanza kutekelezwa Januari, 2023 na utakamilika Januari 2025 hali itakayopelekea  kuimarika kwa upatikanaji umeme katika mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa pamoja kuiwezesha Tanzania kufanya biashara ya umeme katika nchi za kusini mwa Afrika na Afrika Mashariki.

Hayo yalielezwa  wakati Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba alipofika katika eneo kutakapojengwa kituo cha kupoza na kukuza umeme cha Tunduma wilayani Momba, Mkoa wa Songwe ambapo kituo hicho ni moja kati ya vituo vitano vya kupoza umeme vitakavyojengwa kwenye mradi huo.

Mratibu wa Mradi wa TAZA, Mhandisi Elias Makunga alisema kuwa mradi huo  utatekelezwa kwa jumla ya shilingi Trilioni 1.4 ambazo tayari Tanzania inazo na kwamba mradi utakuwa ni kiunganishi cha kwanza cha umeme wa juu kati ya Nchi Wanachama wa Kusini mwaka Afrika (SAPP)  na Nchi Wanachama wa Mashariki mwa Afrika (EAPP) hali itakayochagiza biashara ya umeme kwani Tanzania itaweza kununua umeme nje ya nchi pale panapokuwa na upungufu na pia inaweza kuuza umeme nje ya nchi pale inapokuwa na ziada.

Aliongeza kuwa, shilingi Bilioni 23.1 zimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi  zaidi ya 6,198 waliopisha mradi huo ambapo Wizara ya fedha  kuanzia mwezi wa Nane mwaka huu itafanya uhakiki ili kila mwananchi apate fidia stahiki kabla ya mradi kuanza kutekelezwa.

Waziri wa Nishati, January Makamba alisema kuwa mradi huo una muhimu wa kipekee kwani unaifanya Tanzania kuwa kiungo cha biashara ya umeme katika nchi za Kusini mwa Afrika na Mashariki mwa Afrika na pia mradi huo unaipa Tanzania nafasi ya kuendelea kuzalisha umeme zaidi hata utakaozidi mahitaji ya nchi kwani kuna fursa pia za biashara ya umeme.

“Tuna matumaini mradi utakamilika ndani ya miaka miwili kwani umetengwa katika vipande Nane hivyo kutakuwa na wakandarasi wengi watakaofanya kazi kwa kwa mpigo na hii itawezesha kujengwa kwa vituo vitano vya kupoza umeme pamoja na njia ya kusafirisha umeme kutoka Iringa hadi Rukwa pamoja na kipande cha kwenda mpaka wa Zambia.” Alisema Makamba

Aidha, katika kutekeleza kipaumbele cha Wizara ya Nishati cha kupeleka umeme kwenye maeneo ya uzalishaji ikiwepo migodi, Waziri wa Nishati alifika katika Kijiji cha Itumbi, wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya  ili kuzungumza na wachimbaji wadogo  ambapo aliwaeleza hatua zilizochukuliwa na Serikali za kupeleka umeme kwenye maeneo yao ya uchimbaji, kusikiliza kero zao pamoja na kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.

Waziri wa Nishati aliwaeleza wachimbaji hao kuwa, maeneo 22 ya uchimbaji madini wilayani humo yatapata umeme  kupitia  mradi wa Gridi Mapato ambao tayari una shilingi bilioni 300 ambazo zitapeleka umeme kwenye maeneo ya uzalishaji ikiwemo migodi na viwanda nchini.

Aliongeza kuwa, wakandarasi wa kupeleka umeme kwenye migodi wilayani humo wataanza kazi mwezi wa 10 mwaka huu na kwamba kazi ya kusambaza umeme kwenye maeneo mengine ya kijiji hicho inaendelea baada ya kupata umeme takriban miezi mitatu iliyopita.

Katika hatua nyingine, Waziri wa Nishati ameendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia ambapo alitoa mitungi ya gesi kwa vikundi vya mamalishe ikiwa ni programu maalumu ya majaribio ambayo itawezesha Serikali kupata taarifa zitakazozewesha kutengeneza mpango mkubwa wa kitaifa wa usambazaji wa gesi nchini.

About the author

Alex Sonna