Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

marsbahis

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

marsbahis

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

jojobet

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

jojobet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI BILION 2.3 ZA UUZAJI HEWA UKAA WILAYA YA TANGANYIKA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika pamoja na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) namna wanavyohifadhi misitu pamoja na kupata mazao ya misitu wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya shilingi bilioni 2.3 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika na Vijiji nane vya Halmashauri hiyo kutoka katika mapato ya biashara ya hewa ukaa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishuhudia kikundi cha burudani kutoka Kijiji cha Katuma wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya shilingi bilioni 2.3 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika na Vijiji nane vya Halmashauri hiyo kutoka katika mapato ya biashara ya hewa ukaa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mheshimiwa Mwanamvua Mrindoko hundi ya shilingi bilioni 2 kwaajili ya vijiji nane vinavyotekeleza mradi wa uuzaji wa hewa ukaa vilivyopo tarafa ya Mwese wakati wa halfa iliofanyika Kijiji cha Katuma wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mheshimiwa Mwanamvua Mrindoko hundi ya shilingi milioni 230 kwaajili ya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika ikiwa ni asilimia 10 ya mapato ya uuzaji wa hewa ukaa  inayofanyika katika vijiji nane vya halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Katuma tarafa ya Mwese  Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya shilingi bilioni 2.3 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika na Vijiji nane vya Halmashauri hiyo kutoka katika mapato ya biashara ya hewa ukaa.

………………………………..

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemuagiza waziri mwenye dhamana ya mazingira kwa kushirikiana na watumishi wote wa wizara hiyo kuhakikisha wanatoa elimu kwa wananchi nchi nzima waweze kufahamu fursa zilizopo katika biashara ya hewa ukaa.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akikabidhi mfano wa hundi ya jumla ya shilingi bilioni 2.3 kwa halmashauri ya wilaya ya Tanganyika pamoja na vijiji nane vya wilaya hiyo fedha zilizotokana na biashara ya hewa ukaa. Pia Ameitaka wizara kuhakikisha mapungufu ya kisera na usimamizi wa biashara ya hewa ukaa yanapatiwa ufumbuzi ili taifa liweze kunufaika na biashara hiyo.

Makamu wa Rais ametoa wito kwa halmshauri zingine hapa nchini kujifunza kutoka Halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi namna ya kufaidika na biashara hiyo. Aidha ametoa wito kwa wizara ya maliasili na utalii kwa kushirikiana na serikali za mikoa kuwachukulia hatua kali za kisheria waharibifu wa mazingira ikiwemo wanaochoma moto misitu pamoja na  kusimamia sera na sheria ya mazingira ili kupunguza na kuondoa athari za kimazingira zinazoweza kujitokeza. Pia Makamu wa Rais ameagiza mkoa wa Katavi kufanya tathimini ya kimazingira na kutoa elimu ya utunzaji wa mazingira kwa kushirikisha moja kwa moja jamii.

Katika hatua nyingine Makamu wa Rais amekemea vitendo vya wananchi kuvamia maeneo ya hifadhi kwaajili ya shughuli za ufugaji na kilimo. Makamu wa Rais amewataka baadhi ya viongozi wa serikali na chama wanaruhusu wananchi kuvamia maeneo ya hifadhi kuacha vitendo hivyo mara moja kwani vinahatarisha amani pamoja na kuchochea uharibifu wa mazingira.

Akitoa taarifa ya mradi wa hewa ukaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Shaban Juma amesema malengo ya mradi huo ni pamoja na kuhifadhi na kulinda misitu, bioanuai zote zilizo hatarini kutoweka wakiwemo sokwe mtu, kutunza vyanzo vya maji, kushirikisha jamii katika katika uhifadhi na kunufaika moja kwa moja na faida za uhifadhi. Ameongeza kwamba mradi unaiwezesha jamii kufanya shughuli za maendeleo ya vijiji kupitia mapato yatokanayo na uuzwaji wa hewa ukaa.

Mkurugenzi huyo amesema kupitia mradi huo halmshauri imekusanya zaidi ya milioni mia tatu tisini na nane ambazo zimesaidia katika uendeshaji wa halmashauri, utoaji wa bima za afya kwa wakazi wote waishio katika vijiji nane vya mradi huo, kujenga madarasa, kituo cha afya kata ya katuma pamoja na zahanati nne katika vijiji ili kusogeza huduma za afya karibu na wananchi.

Biashara ya hewa ukaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika ilianza mwaka 2018 ikiendeshwa na halamshauri hiyo na taasisi ya Carbon Tanzania kwa kushirikiana na mradi wa Tuungane kwa Afya na Mazingira bora. Jumla ya hekta 216,944 za misitu zimehifadhiwa katika vijiji nane vya tarafa ya Mwese na wananchi 34,242 wananufaika na biashara hiyo.

Awali Makamu wa Rais  Mhe. Dkt. Philip Mpango alisimama kuwasalimu wananchi wa Kijiji cha Ifukutwa kilichopo Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi ambao walijitokeza barabarani kumlaki akiingiia katika Wilaya hiyo. Akiwa kijijini hapo, Makamu wa Rais ameiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuharakisha ujenzi wa barabara ya kutoka Katavi kuelekea Uvinza Kigoma ili kuwasaidia wananchi shughuli za usafirishaji wa mazao pamoja na kufanya biashara kwa urahisi.

Aidha Makamu wa Rais amesisitiza suala la elimu kwa watoto wa Wilaya hiyo kwa kuwaasa wazazi na walezi kuhakikisha wanafuatlia maendeleo ya Watoto wao katika elimu pamoja na kusimamia wahitimu vema.

Amesema mkoa huo unakabiliwa na changamoto ya Watoto wa kike kushindwa kumaliza masomo kutokana na sababu mbalimbali kama ikiwemo ujauzito hivyo hakuna budi kupiga vita vitendo hivyo kwa nguvu zote. Pia Makamu wa Rais amewasihi kuzingatia lishe ili uzalishaji mkubwa wa chakula wanaoufanya uendane na afya zao.

About the author

Alex Sonna