Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA RAIS WA BURUNDI NDAYISHIMIYE IKULU JIJINI ARUSHA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambae pia ni Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye alipowasili Ikulu ndogo ya Arusha 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambae pia ni Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye yaliyofanyika Ikulu ndogo ya Arusha.

About the author

mzalendoeditor