Featured Kitaifa

WAZIRI DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA EAC KUJADILI SOKO LA PAMOJA

Written by mzalendoeditor

Makamu Mweyekiti wa CCM Mhe. Abdurahman Kinana (kushoto) akiteta jambon a Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliojadili furs ana changamoto ya soko la Pamoja la Jumuiya hiyo unaofanyika  Jijini Arusha, Tanzania.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchema (Mb) (kulia), akizungumza na aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Adam Kimbisa, wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliojadili fursa na changamoto ya soko la pamoja la Jumuiya hiyo, unaofanyika  Jijini Arusha, Tanzania.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchema (Mb) (kulia), akizungumza na Waziri wa Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa (Mb), wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliojadili fursa na changamoto ya soko la pamoja la Jumuiya hiyo, unaofanyika  Jijini Arusha, Tanzania.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchema (Mb) (katkati-mwenye tai ya Bendera ya Taifa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajube kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi hizo uliojadili fursa na changamoto za soko la pamoja la Jumuiya hiyo, unaofanyika  Jijini Arusha, Tanzania.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango- Arusha)

About the author

mzalendoeditor