Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Tumaini Nyamhokya akieleza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Adam Katundu akifafanua Jamabo wakati wa cha Ofisi hiyo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma

Baadhi ya Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), wakifuatilia kikao chao na Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, jijini Dodoma 

Katibu Mkuu TUCTA, Henry Mkunda,  akieleza jambo wakati wa kikao cha Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma 

……………………………..

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana,  Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), ambapo wameongozwa na rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya.

Kikao hicho ni mwendelezo wa Serikali katika kuendelea kushirikiana na TUCTA katika kustawisha maslahi ya wafanyakazi husasni wa sekta Binafsi nchini.

Previous articleWAZIRI JAFO ATAKA KUPITIWA KWA MFUMO WA MAJI YA MVUA KUBAINI WALIOUNGANISHA KIHOLELA
Next articleWAZIRI MCHENGERWA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO SHULE ZOTE WILAYA YA RUFIJI,AANZISHA LIGI YA SENSA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here