marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

grandpashabet

palacebet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

ultrabet giriş

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

celtabet, celtabet giriş

jasminbet, jasminbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

trendbet

padişahbet

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

türk ifşa

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

imajbet

lunabet

holiganbet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

bahiscasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

zirvebet giriş

superbetin

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

bahis siteleri

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casinomilyon

deneme bonusu veren siteler

eminevim

Featured Kitaifa

SUMA JKT YATAKIWA KUKABIDHI JENGO LA OFISI ZA KARAKANA YA NDEGE JULAI 31, 2022

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (wa kwanza kushoto) akisisitiza jambo kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ndege za Serikali, Mhandisi John Nzulule (wa pili kutoka kushoto) kuhusu ukamilishaji wa ujenzi wa jengo la ofisi ya Karakana ya Wakala ya Ndege za Serikali alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akitoa maelekezo kwa wakandarasi wa SUMA JKT na wabunifu majengo wa DIT kuhusu ukamilishwaji wa ujenzi wa jengo la ofisi ya Karakana ya Wakala ya Ndege za Serikali alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo jijini Dar es Salaam. 

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ndege za Serikali, Mhandisi John Nzulule akielezea maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya Karakana ya Wakala ya Ndege za Serikali wakati Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo jijini Dar es Salaam. 

Mbunifu Majengo – DIT, Bw. Anderson Allan akifafanua jambo kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (wa kwanza kulia) wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kukagua maendeleo ya ujenzi huo jijini Dar es Salaam.  

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (wa kwanza kushoto) akitoka kukagua jengo la ofisi ya Karakana ya Wakala ya Ndege za Serikali wakati alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo jijini Dar es Salaam.  Wa pili kutoka kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ndege za Serikali, Mhandisi John Nzulule

Mhandisi wa Umeme – DIT, Bw. Adam Liwondo (wa kwanza kushoto) akimuonesha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (wa pili kutoka kushoto) maeneo ambayo umeme utapita wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara ya kikazi iliyolenga kukagua maendeleo ya ujenzi huo jijini Dar es Salaam. 

Muonekano wa jengo la ofisi ya Karakana ya Wakala ya Ndege za Serikali linaloendelea kujengwa jijini Dar es Salaam. 

……………………………………….

Na. Veronica Mwafisi – Dar es Salaam

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amemtaka Mkandarasi SUMA JKT kuhakikisha anakabidhi jengo la ofisi za karakana ya ndege (HANGAR) kwa Wakala ya Ndege za Serikali (TGFA) tarehe 31 Julai, 2022, ili kuiwezesha TGFA kuongeza ufanisi katika kutoa huduma ya usafiri wa anga kwa viongozi wakuu wa nchi wakiwa katika utekelezaji wa majukumu ya kitaifa.

Mhe. Ndejembi ametoa maelekezo hayo jijini Dar es Salaam, mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ofisi za karakana ya ndege na kuridhika na hatua iliyofikiwa.

Mhe. Ndejembi amesema ofisi yake inategemea tarehe 31 Julai, 2022 jengo la Ofisi ya Karakana ya Ndege litakabidhiwa kwa TFGA, kwani TGFA inategemewa sana na Serikali katika kutoa huduma bora za usafiri wa anga kwa viongozi wakuu wa kitaifa.

“Baada ya kufanya ukaguzi, nimeridhika na kiwango cha ubora na hatua ya ujenzi iliyofikiwa na mkandarasi katika ujenzi wa jengo hili la ofisi za karakana ya ndege,” Mhe. Ndejembi amefafanua.

Mhe. Ndejembi ameongeza kuwa, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama anawapongeza Mkandarasi SUMA JKT, Mshauri Mwelekezi DIT na Mzabuni TGFA kwa ujenzi uliozingatia ubora.

“Tumeona namna jengo lilivyo la kisasa, kwani limewekewa vifaa vya kupambana na moto ikiwa ni pamoja na kuwezesha matumizi mazuri ya umeme,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ndege za Serikali (TGFA), Mhandisi John Nzulule amemshukuru Waziri Jenista Mhagama na Naibu wake Mhe. Deogratius Ndejembi pamoja na wajumbe wa bodi, kwa kufanya ziara za kukagua maendeleo ya ujenzi katika nyakati tofauti, lengo likiwa ni kuhimiza ukamilishaji wa ujenzi wa ofisi za karakana ya ndege ambao hivi sasa upo katika hatua nzuri kutokana na ufuatiliaji wao. 

Kukamilika kwa jengo la ofisi za karakana ya ndege (HANGAR) kutaiwezesha TGFA kutekeleza majukumu yake kikamilifu.

About the author

Alex Sonna