Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA VIONGOZI WA VYAMA MBALIMBALI VYA SIASA KISIWANI PEMBA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Kisiwani Pemba 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha CUF Kisiwani Pemba 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha ADC Kisiwani Pemba.

About the author

mzalendoeditor