Featured Kitaifa

WAZIRI MULAMULA ATETA NA MKURUNZI MTENDAJI WA TAASISI YA TWAWEZA

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akipokea jarida kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza, Bw. Aidan Eyakuza alipomtembelea tarehe 6 Julai 2022 katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.

Waziri Mulamula akizungumza na Bw. Eyakuza ambapo pamoja na mambo mengine, Bw. Eyakuza alienda kujitambulisha kwa Mhe. Waziri pamoja na kueleza majukumu yanayotekelezwa na Taasisi ya TWAWEZA nchini.

Picha ya pamoja Mhe. Waziri Mulamula, Bw. Eyakuza pamoja na ujumbe ulioambatana nao katika mazungumzo hayo. 

About the author

mzalendoeditor