Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA RAIS WA SENEGAL JIJINI DAKAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Senegal Mhe. Macky Sall jana tarehe 06 Julai, 2022 kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na Dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) tarehe 07 Julai, 2022 Dakar Senegal.

About the author

mzalendoeditor