Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI MWAKIBETE ATEMBELEA SINOTASHIP JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Meli ya Ushirikiano kati ya China na Tanzania (SINOTASHIP), Bi Angela Mushi mara baada ya kuwasili ofisi za taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Meli ya Ushirikiano kati ya China na Tanzania (SINOTASHIP), Bi Angela Mushi mara baada ya kuwasili ofisi za taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Meli ya Ushirikiano kati ya China na Tanzania (SINOTASHIP), Bi Angela Mushi kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo mara baada ya NaibuWaziri huyo kutembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Meli ya Ushirikiano kati ya China na Tanzani (SINOTASHIP), Bi Angela Mushi wakati alipomtembelea ofisi kwake jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete (mwenye koti la mistari) katika picha ya pamoja na sehemu ya watumishi wa SINOTASHIP, mara baada ya kuwatmbelea ofisi kwao jijini Dar es Salaam.

PICHA NA WUU

About the author

mzalendoeditor