Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA PICHA MAKAMU WA RAIS ATOA MSAADA WA VIFAA VYA OKSIJENI MUHIMBILI

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhi msaada wa vifaa maalum vya kupima mapigo ya moyo na Oksijeni vinavyofahamika kama Hand Held Pulse Oximeter kwa Mkurugenzi  wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Muhimbili Sr. Zuhura Mawona kwaajili ya Wodi ya Watoto Njiti leo  5 Julai 2022.

About the author

mzalendoeditor