Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CUBA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

About the author

mzalendoeditor