Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

holiganbet

jojobet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino giriş

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

casino siteleri

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

Featured Kitaifa

  WATUMISHI HOUSING KUTEKELEZA KIPAUMBELE CHA RAIS CHA KUTATUA CHANGAMOTO YA MAKAZI YA WATUMISHI WA UMMA NCHINI 

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama, akizungumza na watumishi wa Watumishi Housing Investiment (WHI) wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba zinazoendelea kujengwa eneo la Kisasa Njedengwa jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investment, Dkt. Fred Msemwa akimshukuru Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (Wapili kutoka kushoto) kwa kufanya ziara ya kikazi kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba zilizopo eneo la Kisasa Njedengwa jijini Dodoma.

Baadhi ya watumishi wa Taasisi ya Watumishi Housing Investiment (WHI) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) kabla ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba zinazoendelea kujengwa eneo la Kisasa Njedengwa jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama (Wapili kutoka kulia) akielekea kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba zinazoendelea kujengwa na Watumishi Housing Investiment (WHI) wakati wa ziara yake ya kikazi jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investment, Dkt. Fred Msemwa.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama akiangalia ramani inayoonyesha mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Kisasa Njedengwa zinazojengwa na  Watumishi Housing Investiment (WHI) alipofanya ziara yake ya kikazi jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investment, Dkt. Fred Msemwa (Wa kwanza kulia) mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Kisasa Njedengwa jijini Dodoma.

Mwonekano wa nyumba zinazoendelea kujengwa na Watumishi Housing Investiment (WHI) eneo la Kisasa Njedengwa jijini Dodoma.

…………………….

Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Watumishi Housing Investment (WHI) inajenga nyumba bora za gharama nafuu kwa ajili ya kuwakopesha na kuwauzia watumishi wa umma, ikiwa ni utekelezaji wa kipaumbele cha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan cha kutatua changamoto ya makazi kwa watumishi wa umma nchini.

Mhe. Jenista amesema hayo akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya kukakua utekelezaji wa miradi ya nyumba zinazojengwa na Watumishi Housing Investment (WHI) katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.

Waziri Jenista amesema malengo na maono ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kuwa makazi bora kwa watumishi wa umma nchini, yanakuwa ni kipaumbele kimojawapo katika Serikali ya Awamu ya Sita anayoiongoza.

“Bajeti kuu ya Serikali inayojadiliwa hivi sasa inajumuisha bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambayo katika vipaumbele ilivyoviweka ni kuiwezesha Watumishi Housing kupunguza changamoto ya makazi kwa watumishi wa umma wote nchini,” Mhe. Jenista amefafanua.

Mhe. Jenista amesema kuwa, eneo ambalo Watumishi Housing Investment (WHI) inatakiwa kulifanyia kazi katika mwaka wa fedha 2022/2023 ni kuelekea kwenye halmashauri na wilaya mpya ili kuanza ujenzi wa nyumba bora na za gharama nafuu ambazo zitauzwa au kukopeshwa kwa watumishi au halmashauri kwa utaratibu unaotumiwa na WHI lengo likiwa ni kuhakikisha watumishi wa umma nchini wanapata makazi bora.

Akizungumzia ununuzi wa nyumba zilizojengwa eneo la Njedengwa jijini Dodoma, Mhe Jenista amesema ni nyumba bora na jambo la kufurahisha ni kwamba, kwa asilimia zaidi ya 95 zimenunuliwa na watumishi wa umma.

Ameongeza kuwa, nyumba zilizouzwa zipo za madaraja mbalimbali kulingana na uwezo wa watumishi. 

“Jambo la msingi ninalopenda kuendelea kuwasisitiza Watumishi Haousing Investment ni kujenga nyumba zenye gharama nafuu ambazo watumishi wa ngazi ya chini wanaweza kumudu na ikiwezekana zijengwe ambazo zitakuwa na bei ya chini zaidi ya milioni 45”, Mhe. Jenista amesisitiza.

Kwa upande wake  Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investment (WHI) Dkt. Fred Msemwa amesema mradi huo wa nyumba unaotekelezwa na taasisi yake unahusu ujenzi wa nyumba 133 ambapo nyumba 90 zimeshakamilika na walengwa walishahamia na nyingine 43 ujenzi bado unaendelea. 

Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Watumishi Housing Investment (WHI) ina lengo la kujenga nyumba bora za gharama nafuu kwa ajili ya kuwauzia watumishi wa umma na wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii  ili kuwawezesha kupata makazi bora yatakayowawezesha kuwa na ari na morali ya kutoa huduma bora kwa wananchi.

About the author

Alex Sonna