Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI (DIASPORA) WANAOISHI NCHINI OMAN

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Oman (Diaspora) katika eneo la Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.

  

Watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Mkutano uliofanyika eneo la Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.

About the author

mzalendoeditor