slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

new unblocked games

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

hardcore porn

escort sapanca

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

palacebet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Kingroyal

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betmoney

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

casibom

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

casibom giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

betmoney giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

kumar siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

otobet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

betmoney

tarafbet

güvenilir kumar siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

betplay

cashwin

cratosroyalbet

casinomilyon

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casinoroyal

Hacklink panel

jojobet yeni adres

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

perabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI GWAJIMA ATAKA WATOTO NCHINI KUFICHUA VITENDO VYA KIKATILI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima,akisalimiana na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mnadani Joyce Kaishozi mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutoa  taarifa kwa waandishi wa Habari kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika  katika Shule hiyo leo Juni 6,2022 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima,akisalimiana na Walimu wa Shule ya Msingi Mnadani  mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutoa  taarifa kwa waandishi wa Habari kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika  katika Shule hiyo leo Juni 6,2022 jijini Dodoma.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mnadani Joyce Kaishozi,akitoa taarifa ya shule kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima,mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutoa  taarifa kwa waandishi wa Habari kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika  katika Shule hiyo leo Juni 6,2022 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, akitoa taarifa kwa waandishi wa Habari kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika katika Shule ya Msingi Mnadani jijini Dodoma.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri, akizungumza wakati wa kikao cha Waziri Dkt. Gwajima na Waandishi wa Habari kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika Juni, 16, 2022 katika shule ya Msingi Mnadani jijini Dodoma.

Afisa Elimu Msingi Dodoma Jiji Prisca Myalla,akizungumza wakati wa kikao cha Waziri Dkt. Gwajima na Waandishi wa Habari kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika Juni, 16, 2022 katika shule ya Msingi Mnadani jijini Dodoma.

Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mnadani wakiwa wanamsikiliza Waziri Dkt. Gwajima wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika Juni, 16, 2022 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, akicheza kwaya na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mnadani, mara baada ya kutoa taarifa kwa Umma kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mnadani pamoja na viongozi wa Wilaya ya Dodoma, mara baada ya kutoa taarifa kuelekea Siku ya mtoto wa Afrika Juni, 16, 2022.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, akiagana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mnadani  mara baada ya kutoa taarifa kuelekea Siku ya mtoto wa Afrika Juni, 16, 2022.

…………………………………………..

Na Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI imewataka watoto kote nchini kufichua viashiria vya vitendo vya kikatili dhidi yao vinavyotokea hasa katika maeneo ya shule na nyumbani.

Hayo yamesemwa leo Juni,6,2022 jijini Dodoma na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, katika Shule ya Msingi Mnadani alipokuwa akitoa taarifa kwa Wanafunzi, Walimu pamoja na waandishi wa habari kuelekea kilele cha Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.

Waziri Dkt. Gwajima, amewasisitiza watoto hao kutokuogopa na badala yake waonapo vitendo vya ukatili au viashiria watoe taarifa kwa watu wanao waamini ikiwepo dawati la jinsia linalopatikana kwenye vituo vya Polisi.

”Wanangu, Baba akikukatli mwambie Mama na kama ni Mama basi mwambie Baba, au kama unaona huwezi kumwambia Baba au Mama basi mwambie mtu unayemwamini alisema Dkt. Gwajima.

Akitoa hali ya takwimu ya hali ya matukio ya ukatili kwa watoto katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2021, Mhe. Dkt. Gwajima amesema, jumla ya matukio yaliyoripotiwa ndani ya Jeshi la Polisi ni 11,499 ikilinganishwa na matukio 15,870 katika kipindi kama hicho mwaka 2020, sawa na upungufu wa imatukio 4,371 ikiwa na asilimia 27.5

“Mikoa iliyoongoza ilikuwa ni Arusha (808), Tanga (691), Shinyanga (505), Mwanza (500) na Mkoa wa Kipolisi Ilala (489). Akisema makosa yaliyoongoza kwa idadi kubwa ni ubakaji (5,899), mimba kwa wanafunzi (1,677) na ulawiti (1,114)” amesisi Waziri Dkt. Gwajima

Serikali kupitia Wizara yenye dhamana na Watoto iliandaa Sera ya Maendeleo ya Mtoto ya mwaka 2008 ambayo imeainisha Haki tano (5) za Msingi za Mtoto ikiwepo Haki ya Kuishi, Kulindwa, Kuendelezwa, Kushiriki na haki ya Kutobaguliwa. Sambamba na kuratibu utungwaji wa Sheria ya Mtoto Na. 21 ya mwaka 2009.Ameongeza kuwa Msingi wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ni utoaji wa Haki za Mtoto kama ilivyoelekezwa na Umoja wa Afrika katika Mkataba wa Afrika wa Haki na Ustawi wa Mtoto wa mwaka 1991. Umoja wa Afrika ulitohoa maazimio hayo kutoka katika Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto wa mwaka 1989” alisema Dkt. Gwajima.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Jabir Shekimweri, ameahidi kutekeleza yote yaliyoelekezwa na Waziri Gwajima huku akisema, kwa kuwa ndani ya Shule hiyo kuna Baraza ya Watoto, watatumia siku hiyo ya Juni 16, 2022 kufanya mdahalo unaoendana na kaulimbiu ya Siku ya Mtoto wa Afrika ili kuwashirikisha watoto katika kujifunza mbinu mbalimbali za kujilinda na kutoa taarifa dhidi ya vitendo vya ukatili dhidi yao.

Kaulimbiu ya Siku ya Mtoto wa Afrika kwa Mwaka 2022 ni “Tuimarishe ulinzi wa Mtoto; Tokomeza Ukatili Dhidi Yake: Jiandae kuhesabiwa” Kaulimbiu hiyo inasisitiza umuhimu wa kuimarisha juhudi za kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili na hatimaye kuvitokomeza kabisa. Aidha, wananchi wote wanahimizwa kujiandaa na kujitokeza kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi litakalofanyika tarehe 23 Agosti, 2022.

About the author

Alex Sonna