Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA AJILI YA MIJI 28 IKULU CHAMWINO

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kushuhudia utiaji Saini Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji Saini Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 kwa Wakandarasi walioshinda zabuni kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma 

Viongozi mbalimbali, Wakandarasi walioshinda zabuni, pamoja na Wabunge wanufaika wa miradi ya Maji wakiwa katika viwanja vya Ikulu Chamwino kushuhudia utiaji Saini wa Mikataba ya miradi hiyo.

 

About the author

mzalendoeditor