Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA BALOZI WA INDONESIA NCHINI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Indonesia nchini, Mhe. Tri Yogo Jatmiko kambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma Juni 6, 2022 kujitambulisha baada ya kukabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Januari 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Indonesia nchini, Mhe. Tri Yogo ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma Juni 6, 2022 kujitambulisha baada ya kukabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu  Hassan, Januari   2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor