marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

lordbahis

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

imajbet

parmabet

piabellacasino

mislibet

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

setrabet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet güncel giriş

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

goldenbahis

imajbet

imajbet giriş

imajbet güncel giriş

ngsbahis

kralbet giriş

bahiscasino

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

romabet

holiganbet

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

jetbahis

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

norabahis

betasus

nesinecasino

holiganbet

mercurecasino

casinowon

grandpashabet

padişahbet

Google Search Console giriş

Featured Kitaifa

UMOJA WA WAMILIKI NA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJI TANGA MJINI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KUPUNGUZA BEI ZA MAFUTA

Written by Alex Sonna
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga Mjini (UWAPIBATA),Mohamedi Chande
Umoja wa Wamiliki na Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga Mjini (UWAPIBATA) unampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua madhubuti anazochukua kuhakikisha kuwa ongezeko la bei ya mafuta kwenye soko la dunia hazileti athari kubwa katika maisha ya wananchi na uchumi wa Tanzania kwa ujumla.
 
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili Juni 5,2022 Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga Mjini (UWAPIBATA),Mohamedi Chande amesema hatua madhubuti zilizochukuliwa na Rais Samia ni pamoja na kuweka ruzuku ya Shilingi Bilioni 100 ambayo wote tumeona jinsi ambavyo imesaidia kupunguza bei za petroli na dizeli nchi nzima kuanzia tarehe 1 Juni.
 
“Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ruzuku ya Shilingi bilioni 100 ya Rais Samia imesaidia kupunguza bei ya mafuta, ambapo kwa bandari ya Tanga, petroli imeshuka kwa shilingi 152 kwa lita na dizeli imeshuka kwa shilingi 476 kwa lita.Kabla ya ruzuku ya Rais Samia ya Shilingi Bilioni 100, sisi wamiliki na waendesha pikipiki na bajaji mkoani Tanga tulikuwa tunanunua petroli kwa shilingi 3,137 kwa lita, lakini kwa sasa bei hiyo imeshuka hadi kufikia shilingi 2,985, huku kila lita moja ya petroli ikiwa na ruzuku ya shilingi 152”,amesema Chande.
 
 
“Kwa upande wa dizeli, lita moja iliuzwa kwa shilingi 3,639 kwa lita kabla ya ruzuku ya Rais Samia, na sasa inauzwa kwa shilingi 3,162 kwa lita hapa Tanga ikiwa kila lita moja ya dizeli imewekewa ruzuku ya shilingi 476”, ameongeza.
 
Amesema Wamiliki na Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga Mjini (UWAPIBATA) Mjini Tanga wanampongeza Rais Samia na serikali anayoiongoza kwa kuwajali wananchi na kuweka ruzuku hii kubwa kwenye bei za petroli na dizeli nchini.
 
“Tumeshuhudia jinsi ambavyo mataifa mbalimbali duniani, ikiwemo baadhi ya nchi za jirani barani Afrika, yalivyokumbwa na tafrani kutokana na bei za mafuta kupanda duniani, huku kukiwa na uhaba na foleni kubwa kwenye vituo vya mafuta nchi hizo na hata vurugu sehemu nyingine.
 
Lakini hapa kwetu Tanzania kumekuwa na hali ya utulivu mkubwa kutokana na uongozi shupavu wa Rais Samia ambaye amehakikisha kuwa nchi inakuwa na akiba ya mafuta ya kutosha na pia kuweka ruzuku ambayo imesaidia kushusha bei ya petroli na dizeli nchini”, amesema.
 
Amebainisha kuwa Ruzuku ya Rais Samia kwenye mafuta imeleta ahueni kwetu sisi wamiliki na waendesha pikipiki na bajaji, kwani imesaidia kupunguza ugumu wa maisha kwa kushusha gharama za uendeshaji wa pikipiki na Bajaji.
 
“Tunatoa wito kwa serikali ichukue hatua za kikodi kwenye Bajeti Kuu ya serikali itakayosomwa Bungeni mwezi huu, ili kupunguza zaidi bei za petroli na dizeli kuanzia mwaka ujao wa fedha wa 2022/23 unaoanza Julai 1,2022”,amesema.
 
“Kupungua kwa bei ya mafuta kunaleta ahueni siyo kwetu sisi tu wamiliki na waendeshaji, bali hata kwa mamilioni ya Watanzania nchini wanaotumia huduma zetu ya usafiri wa pikipiki na bajaj katika shughuli zao za maisha kila siku”,ameeleza Chande.
 
 
Amefafanua kuwa Pikipiki na bajaji hutumika kusafirisha abiria mbalimbali, ikiwemo wafanyakazi, wakulima, wavuvi, wafanyabiashara na pia kubeba mizigo, na hata wakati mwingine kubeba wagonjwa kuwapeleka hospitali ,hivyo ruzuku ya Rais Samia imesaidia sana kuleta ahueni kwa mamilioni ya Watanzania nchi nzima.
 
“Sisi Umoja wa Wamiliki na Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga Mjini (UWAPIBATA) tunaunga mkono juhudi za Rais Samia za kudhibiti ongezeko la bei ya mafuta na tunampongeza kwa uongozi wake mahiri na shupavu na kumtaka aendelee “kuupiga mwingi” katika jitihada zake za kuleta maendeleo nchini”,amesema.
 

About the author

Alex Sonna