marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

anadoluslot

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

porno izle

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betplay

marsbahis

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

betpuan

jojobet

betasus giriş

kingroyal giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

Featured Kitaifa

WANAHABARI WASHAURIWA KUJIUNGA JOWUTA

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa JOWUTA, Selemani Msuya akizungumza katika mkutano wa Chama hicho ambacho walikaa na waandishi wa habari kueleza ni namna gani wamejipanga na kupata wanachama wapya.Mkutano huo umefanyika Juni 03, 2022 Jijini Dar es Salaam  Katibu Mkuu wa JOWUTA, Selemani Msuya akisisitiza jambo katika mkutano wa Chama hicho ambacho walikaa na waandishi wa habari kueleza ni namna gani wamejipanga na kupata wanachama wapya.Mkutano huo umefanyika Juni 03, 2022 Jijini Dar es Salaam  Mwanachama wa Chama Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) Bw.Lisungu Kambona akizungumza katika mkutano wa Chama hicho ambacho walikaa na waandishi wa habari kueleza ni namna gani wamejipanga na kupata wanachama wapya.Mkutano huo umefanyika Juni 03, 2022 Jijini Dar es Salaam     Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA wakifuatilia mkutano wa Chama hicho ambacho walikaa na waandishi wa habari kueleza ni namna gani wamejipanga na kupata wanachama wapya.Mkutano huo umefanyika Juni 03, 2022 Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

****************************

Na Mwandishi Wetu

WAANDISHI wa Habari nchini wameshauriwa kujiunga na Chama Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), ili waweze kushirikiana kudai haki zao kwa pamoja.

Ushauri huo umetolewa na Katibu Mkuu wa JOWUTA, Selemani Msuya leo wakati akiwaelezea waandishi wa Mkoa wa Dar es Salaam faida za kujiunga na chama hicho.

Msuya alisema JOWUTA ni chama chenye umuhimu kwao hivyo wanapaswa kukitumia kwa mujibu wa sheria.

Alisema JOWUTA imeamua kuiwaita na kuwaeleza umuhimu wa wao kujiunga na chama hicho ambacho ndicho kina mamlaka kisheria ya kudai, kutetea na kusimamia haki na maslahi ya waandishi wa habari nchini.

“Kwa mujibu wa Sheria Ajira na Mahusiano Kazini ya Mwaka 2004, nyie kama waandishi wa habari mna haki ya kujiunga na JOWUTA, ili tuweze kushirikiana pamoja kudai na kutetea haki zetu, hakuna mtu atatoka taasisi nyingine kudai haki zetu.

Nawaomba mjiunge JOWUTA kwani ndio sehemu sahihi kwa tasnia hii katika kudai haki zetu hizo taasisi nyingine kwa mujibu wa Sheria haziwezi kufanya hivyo,”alisema Msuya.

Katibu huyo alisema Serikali ipo tayari kufanya kazi na JOWUTA, hivyo kinachohitajika ni wao kujiunga ili kuwa na nguvu kubwa ya pamoja.

Msuya alisema madhila wanayopitia waandishi wa habari nchini hasa kukosa mikataba ya ajira inatokana na wao kutokuwa kitu kimoja.

Katibu huyo alisema asilimia 70 ya waandishi wa habari nchini hawana mikataba pamoja na kuwa na sifa za kitaaluma jambo ambalo halikubaliki kwa mujibu wa sheria.

Katibu huyo alisema JOWUTA inataka waandishi kuungana ili kuondokana na watu wanaoitwa correspondent au retainer ambao kwenye taaluma zingine hawapo.

“Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, niwaombe ndugu zangu njooni JOWUTA tuunganishe nguvu, ili kuweza kudai haki zetu kwa pamoja. Nasisitiza kuwa hakuna mtu atakaa mbele kudai haki zetu tofauti na sisi wenyewe,” alisema.

Aidha, Msuya alisema kutokana na waandishi wengi kukosa mikataba hawachangii kwenye mifuko ya hifadhi ya jamji, hawana bima na stahiki nyingine kama mafao kwa mujibu wa sheria.

Msuya aliwataka waandishi hao kuwa mabalozi kwa mabosi wao ili waweze kuwapa ushirikiano wa kuunda vyama vya wafanyakazi katika maofisi yao.

Alisema JOWUTA kwa mujibu wa Katiba yake inapokea wafanyakazi wote wanaofanya kazi kwenye vyombo vya habari.

About the author

Alex Sonna