Featured Kitaifa

SHEREHE ZA USIKU WA WAANDISHI NA WADAU WA HABARI KANDA YA ZIWA 2022 ZAFANA

Written by mzalendoeditor

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akizungumza katika Sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa.
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel amewaongoza Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu ‘Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club – MPC).
 
Sherehe hizo zenye lengo la kuwaleta pamoja wadau wa habari ili waweze kueleza tathmini yao ya mwaka mmoja wa utekelezaji wa mipango yao ya mwaka ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan zimefanyika Usiku wa Ijumaa Juni 3,2022 katika ukumbi wa Rock City Mall Jijini Mwanza na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa Habari kutoka Kanda ya Ziwa.
Katika sherehe hizo Maalumu za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya habari  wadau wa habari wamepata fursa ya kuonyesha bidhaa au huduma zao mbele ya vyombo vya habari   pamoja na kujenga mahusiano ya kikazi baina ya vyombo vya habari na wadau wa habari.
 
Mkuu huyo wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel pia amezindua Akaunti ya Benki kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club – MPC) 
 
Miongoni mwa Wadhamini wa Sherehe za Usiku wa Waandishi wa Habari Kanda ya Ziwa ni pamoja na Kampuni ya TBL, TCRA,NSSF, Kampuni ya Jambo, UTPC, Metro Fm, Clouds Media, TRA, TIRA, EMEDO, YUHOMA,MSCL,RFA, Cecy Toto & Gift Shop na SBC LTD.
 
Mwenyekiti wa MPC , Edwin Soko amesema kuwa, kwa Mwaka ujao 2023 usiku wa waandishi wa habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa kwa Mwaka utaadhimishwa kitaifa ili kuwaleta wadau wengi zaidi kwani kumekuwa na maombi toka kwa wadau juu ya hafla hiyo kuwa ya kitaifa.
 
Soko ameongeza kuwa, MPC inatambua uwepo wa wadaua na kwa mwaka 2022/ 2023 itahakikisha inaboresha mahusiano zaidi ya wadau wa habari Kanda ya Ziwa .
 
Usiku wa waaandishi wa habari na wadau wadau Kanda ya Ziwa ilitanguliwa na wiki ya wadau Kanda ya Ziwa iliyoanza Mei 29 na kuhitimishwa Juni 3, 2022, ambapo wadau wa habari waliweza kutembelewa na vyombo vya habari na kueleza tathimini ya utendaji kazi wao na mipango yao kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Tazama Picha hapa chini

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akizungumza katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu ‘Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club – MPC) Juni 3,2022. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog 
Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu ‘Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club – MPC) Juni 3,2022. 
 Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza, Edwin Soko akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu ‘Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club – MPC) Juni 3,2022. 
MC Ben na MC Gsengo (kulia) wakizungumza jambo kwwenye Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu ‘Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club – MPC) Juni 3,2022. 
Mkuu Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (kushoto) akikata utepe kuzindua Akaunti ya Benki kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club – MPC) 
Mkuu Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (kushoto) akionesha namba za akaunti baada ya kuzindua Akaunti ya Benki kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club – MPC) 
Mkuu Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (kulia) akimpongeza Mwenyekiti wa MPC , Edwin Soko kwa kupata tuzo ya kutetea uhuru wa kujieleza
Meza kuu wakiwa katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu ‘Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza
Wadau wakiwa kwenye sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza

Wadau wakiwa kwenye Sherehe za Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza

Wadau wakiwa kwenye Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu ‘Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza

MC Ben na MC Gsengo (kushoto) wakiwa katika Sherehe za Usiku wa Marafiki wa Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa maarufu ‘Usiku wa Waandishi na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ zilizoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club – MPC) Juni 3,2022. 
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
About the author

mzalendoeditor