marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

bets10

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

imajbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

sonbahis

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

bahiscasino

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

ngsbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

sahabet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

onwin

romabet

betsilin

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

marsbahis

matbet

jojobet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

WADAU WA MALEZI NCHINI KUJIKITA KATIKA ELIMU MALEZI CHANYA KWA MTOTO

Written by Alex Sonna

 Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Sebastian Kitiku akizungumza na wadau wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto  kwenye Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto wakati wa kikao kilichofanyika jijini Dodoma.

 Mkurugenzi wa Mtandao wa Malez,i Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto Mwajuma Rwebangira akielezea lengo la mradi wa Mtoto Kwanza kwa wadau wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, kwenye  Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika Bright Jamii Iniatitive Irene Fugala akichangia mada kwenye  kikao cha wadau wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto chenye lengo la kuwapitisha wadau wa Mradi wa Mtoto Kwanza kwenye Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma.

Meneja Programu kutoka Shirika KIHUMBE Jeremia Henry akichangia mada wakati  kikao cha wadau wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto chenye lengo la kuwapitisha wadau wa Mradi wa Mtoto Kwanza kwenye Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto wakati  wa kikao kilichofanyika jijini Dodoma.

Baadhi ya wadau wa Malezi na makuzi ya Awali ya Mtoto kutoka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Idara na Taasisi za Serikali wakishiriki kikao cha kuwapitisha kwenye Mradi wa Mtoto Kwanza katika  Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

……………………………………………………….

Na WMJJWM-Dodoma

Wadau wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kupitia mradi wa Mtoto Kwanza wamejipanga kujikita kutoa elimu ya Malezi kwa jamii ili isadie kuondokana na mmomonyoko wa maadili unaochangia kutokea kwa vitendo vya ukatili.

Hayo yamebainika jijini Dodoma wakati wa kikao kilicho wakutanisha wadau hao kwa lengo la kuwapitisha kwenye Mradi huo katika utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.

Mkurugenzi wa Shirika la Bright Jamii Initiative Irene Fugara alisema Shirika lake limejikita  kuhakikisha linatoa  elimu ya Malezi kwa Mtoto ili kupambana na ukatili wa kijinsia  dhidi ya Watoto ili  iweze kusaidia kuondoka na tatizo hilo.

“Lazima tuijengee jamii uwezo wa kuwa na uelewa kwenye masuala ya Malezi ili iwasaidie katika kuhakikisha watoto wanalelewa kwenye mazingira mazuri na yatakayowawezesha kuwa wazalendo, jasiri na wenye kujiamini ” alisema Irene

Naye Meneja Programu kutoka Shirika la KIHUMBE Jeremia Henry amesema Shirika hilo linashirikiana na Serikali na wadau wa maendeleo hasa upande wa  miradi ya watoto na vijana katika masuala ya Afya, Malezi, Makuzi, na pamoja na Lishe ndani ya jamii. 

“Kupitia Programu hii Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto tumepata uelekeo utakaotusaidia kuona ni namna gani tutatoa elimu ya Malezi kwa  jamii ili tuwe na jamii yenye watu wenye Malezi bira” alisema Jeremia 

Akifungua kikao hicho Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Sebastian Kitiku alisema Serikali imeweka jitihada mbalimbali ili kuhakikisha jamii inapata elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kwa kuzindua  Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto inayolenga kusaidia kutoa elimu ya Malezi chanya ndani ya jamii.

Mkurugenzi huyo alisema pia uwepo wa Programu hiyo nchini utasaidia kujiamini kwa kujenga kizazi chenye  kung’amua changamoto mbalimbali katika jamii na kuzifanya fursa za kimaendeleo katika jamii husika.

“Programu hii imeandaliwa na kuzinduliwa kwa lengo la kuziba mapengo yaliyopo kwa sasa, kwakua na mipango na Programu zingine za Malezi kwa Mtoto, hivyo itasaidia kutatua changamoto ziliziokuwepo miongoni mwa jamii hasa kwenye  Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ” alisema Kitiku.

Akizungumza kwenye kikao hicho, Mkurugenzi wa Mtandao wa Malezi Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto Mwajuma Rwebangira alisema lengo la kikao hicho  ni kuwapitisha wadau wa Mradi wa Mtoto Kwanza katika Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ili waweze kutumia Programu hiyo katika kutoa elimu kwa jamii kuhusu Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.

“Sisi wadau wa Mtoto Kwanza katika kutekeleza mradi huu tuhakikishe tunatumia Programu hii ili kuhakikisha tunajikita katika kutoa elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto katika sehemu tunazotoka” alisema Mwajuma

About the author

Alex Sonna