Featured Kitaifa

TMDA: MATUMIZI YA TUMBAKU YANAWEZA KUSABABISHA MATATIZO KWENYE VIA VYA UZAZI

Written by mzalendoeditor

Afisa Mwandamizi wa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja Roberta Feruzi
akitoa elimu kwa wananchi waliojitokeza kwenye banda la TMDA kwenye eneo
la Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea Maonyesho ya Biashara na Utalii
Jijini Tanga

NA OSCAR ASSENGA,TANGA

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba nchini
(TMDA) imesema kwamba matumizi ya tumbaku yanaweza kusababisha matatizo
kwenye via vya uzazi,athari ya kansa ya utumbo mpana na kupoteza nguvu
kazi ya Taifa na hivyo kusababisha Serikali kutumia fedha nyingi katika
kutibu magonjwa hayo

Hivyo wito ulitolewa kwa wananchi kuacha kutumia tumbaku,uvutaji wa sigara
kutokana na kwamba ni hatari kwa afya zao na athari zake ni kubwa kwa jamii hivyo waache matumizi yake

Hayo
yalisemwa na Afisa Mwandamizi wa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja
Roberta Feruzi wakati akizungumza n waandishi wa habari katika eneo la
Mwahako Jijini Tanga kunakofanyika maonyesho ya 9 ya viwanda,biashara na
talii Jijini Tanga.

Alisema wameshiriki maonyesho hayo ili
kuweza kutoa elimu kwa wananchi wao kama mamlaka ya dawa wamepewa
dhamana ya kusimamia na kudhibiti bidhaa za tumbaku huku wakitoa wito
kwa wananchi kuacha kutumia

Aidha alisema wao wanalinda kwa
kuelekeza kwamba bidhaa za tumbuka watu waache kutumia bidhaa hizo kwani
zimekuwa na athari kubwa sana kwa wananchi  kidogo kidogo ikiwemo kansa
lakini kubwa zaidi ni nguvu kazi ya uzalishaji mali kwa maendeleo ya
Taifa inapungua .

 “Lakini kubwa ni kundi cha chini ya miaka 18
limekuwa likijiingiza kwenye uvutaji wanatoa wito waache mara moja kwani
mandhara yake ni makubwa kwa jamii “Alisema

Hata hivyo alisema
wameshiriki kwenye maonyesho hayo kwa ajili ya kutoa elimu kwa wananchi
waifahamu taasisi lakini kazi yao kulinda ubora wa jamii wanailinda kwa
kusimamia ubora,usalama na ufanisi wa bidha za dawa,vifaa tiba na
vitenganishi.

“Lakini pia kusimamia uzibiti wa bidhaa
zinazotokana na tumbaku,TMDA kuhakikisha jamii na wanatoa elimu juu ya
matumizi sahihi ya dawa wengi wamekuwa wakikiuka matumizi ya dawa
ipasavyo kutokana na kutokupata elimu na kupelekea matatizo kwenye mwili
na usugu vimilea”Alisema

Hata hivyo alisema pia wanatoa elimu
juu ya utoaji wa tahadhari ya mauzi yanatoweza kutokana na maudhi ya
bidhaa za dawa,vifaa tiba na vitengenishi waweze kutoa taarifa.

About the author

mzalendoeditor