Featured Kitaifa

SPIKA DKT.TULIA ATETA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimkaribisha Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga (katikati) alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Peter Mathuki

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Ugeni kutoka Bunge la Afrika Mashariki wakiongozwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga (kulia kwake) walipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor