Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwenye jengo la Mkapa jijini Dodoma, Mei 31, 2022. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Innocent Bashungwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwenye jengo la Mkapa jijini Dodoma, Mei 31, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)