Featured Michezo

RAIS SAMIA APOKEA KOMBE LA DUNIA,IKULU DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea kombe la Dunia kutoka kwa Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi mfano wa kombe la Dunia kutoka kwa Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata picha ya pamoja na Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti akizungumza katika hafla ya Tanzania kupokea kombe la Dunia, hafla iliyofanyika leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam, mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan  Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa akizungumza katika hafla ya kupokea kombe la Dunia leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Dkt.Hassan Abbas akizungumza katika hafla ya kupokea kombe la Dunia leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.   Baadhi ya wachezaji wa zamani wa Tanzania pamoja na wadau mbalimbali wa mpira wa miguu nchini wakifuatilia hafla ya kupokea kombe la Dunia, leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan. 

( PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

About the author

mzalendoeditor