Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat güncel giriş

betpark

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

mariobet, mariobet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

pusulabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

maxwin

bets10

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

nerobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

casino siteleri

jojobet

tubidy

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU:’SERIKALI ITAENDELEA KUTOA FEDHA ZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VYUO VYA UFUNDI NCHINI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim majaliwa (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo (kulia) wakifungua kitambaa kuashiria uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Ufundi tower katika Chuo cha Ufundi Arusha, Jijini Arusha.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim majaliwa akiangalia mchoro wa jengo la Ufundi tower lililopo Chuo cha Ufundi Arusha wakati akikagua mradi wa ujenzi wa jengo hilo Jijini Arusha

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim majaliwa,akiongea na hadhara iliyohudhuria hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika jengo la Ufundi tower lililopo Chuo cha Ufundi Arusha, Jijini Arusha.

Naibu Katibu wa Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo akiongea na hadhara iliyohudhuria hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika jengo la Ufundi tower lililopo Chuo cha Ufundi Arusha, Jijini Arusha.

Baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika jengo la Ufundi tower lililopo Chuo cha Ufundi Arusha uliofanywa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani)

…………………………………………….

Serikali itaendelea kutoa fedha za kuboresha miundombinu ya Vyuo vya Ufundi ili wanafunzi wa Kitanzania waendelee kupata elimu katika mazingira bora.

Hayo yamesemwa Mei 24, 2022 Jijini Arusha na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la maabara, madarasa na ofisi (Ufundi Tower) katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC).

Amesema Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha sekta ya Elimu kuanzia Awali hadi Vyuo Vikuu kwa wanafunzi wa kawaida na wenye mahitaji maalum.

“Tumejenga madarasa, mabweni, maabara za masomo ya sayansi, tumeongeza nyumba za walimu, majiko na mabwalo ili watoto wa Kitanzania waweze kupata elimu bora bila changamoto yoyote,” amesema mhe. Majaliwa.

Mhe. Majaliwa ameongeza kuwa Serikali pia inafanyia kazi suala la upatikanaji wa mikopo kwa wanafunzi wa ngazi ya Diploma kupitia tume ya kutathmini iliyoundwa na Wizara ya Elimu ili kuona namna ya kuweza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ngazi ya kati.

“Kupitia bajeti ya mwaka huu ambayo inafikia bilioni 570 tunataka tuone kila mwanafunzi wa Kitanzania anayetoka kwenye familia isiyokuwa na uwezo wa kujilipia gharama mbalimbali ananufaika na mkopo huo,” amefafanua Mhe. Majaliwa.

Naye Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo akiongea katika hafla hiyo kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema Wizara ilipokea jumla ya Shilingi bilioni 64.9 kutoka kwenye fedha za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko 19 ambazo zimetumika kutekeleza miradi mbalimbali ya kielimu.

“Mradi huu ulioweka jiwe la msingi leo ni matokeo ya jitihada kubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita lakini pia na ushawishi mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuweza kupata fedha hizo ili kuweza kukamilisha miradi hii,” amesema Prof. Nombo.

Ameongeza kuwa pamoja na kuwa Uviko imekuwa ni changamoto lakini kwa Tanzania imekuwa ni baraka pia kwa kuwa fedha zake zimeweza kutumika kutekeleza miradi mbalimbali ya kuboresha miundombinu ya kufundishia na kujifunzia.

“Fedha hizi zimeelekezwa katika Vyuo vya VETA 25 vya Wilaya, vinne vya mikoa, Vyuo vya Ualimu ambako tumejenga madarasa, mabweni na kumbi la mihadhara kwa lengo la kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia,” amefafanua Prof. Nombo.

Naye Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Musa Chacha amesema ujenzi wa jengo la ufundi tower ulianza Januari 2022 na unatarajiwa kukamilika mwisho wa mwezi Juni 2022.

“Jengo hili lina ghorofa tatu na litakuwa na maabara, madarasa, ofisi na stoo na ujenzi wake mpaka sasa umefikia asilimia 88,” amesema Dkt. Chacha.

About the author

Alex Sonna