Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu Bungeni, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Bungeni, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge kutoka kushoto ni Mbunge wa  Morogoro Kusini , Hamisi Shaban Taletale na Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole, Bungeni, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri  Ofisi ya Rais, Tawala za Mika na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, David Silinde Bungeni, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Nchi Ofisi ya Rais Ikulu,    George Mkuchika, Bungeni, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Malima Bungeni, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Doto Biteko Bungeni, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor