Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA :WAZIRI MKUU AKIWA SOKO LA KILOMBERO JIJINI ARUSHA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea Soko la Kilombero kabla ya kuzungumza na wafanyabiashara wa soko hilo jijini Arusha Mei 24, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea Soko la Kilombero kabla ya kuzungumza na wafanyabiashara wa soko hilo jijini Arusha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara katika soko la Kilombero jijini Arusha wakati alipotembelea soko hilo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na wananchi katika viwanja vya soko la Kilombero  baada ya kutembelea soko hilo jijini Arusha, Mei 24, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)(

About the author

mzalendoeditor