Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA UJUMBE WA TAASISI YA MUNADHAMAT AL DAWA IL ISLAMIA UKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAJE SHEIKH.ABDULRAHAMAN ABDULLA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Munadhamat Al Dawa Al Islamia Sheikh.Abdulrahaman Abdulla, (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 24-5-2022, akiwa na Ujumbe wake .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Munadhamat Al Dawa Al Islamia ukiongozwa na Mwenyekiti wake  Sheikh Abdulrahaman Abdulla (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwenyekiti wa Taasisi ya Munadhamat Al Dawa Al Islamia Sheikh.Abdulrahaman Abdulla, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Ujumbe wa Taasisi ya Munadhamat Al Dawa Al Islamia ukiongozwa na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Sheikh.Abdulrahaman Abdulla.(mwenye kilemba) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-5-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor