slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

casibom giriş

dlakjfol

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured

WAKUU WA MIKOA WATAKIWA KUFANYA UHAKIKI WA TAKWIMU ZA OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati wa mkutano wa Wakuu wa Mikoa na viongozi mbalimbali uliofanyika leo Mei 24, jijini Dodoma kwa lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu) Mhe. David Silinde (Mb) akizungumza wakati wa mkutano wa Wakuu wa Mikoa na viongozi mbalimbali uliofanyika leo Mei 24, jijini Dodoma kwa lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi akizungumza wakati wa mkutano wa  Wakuu wa Mikoa na viongozi mbalimbali uliofanyika leo Mei 24, jijini Dodoma kwa lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack akizungumza wakati wa mkutano wa  Wakuu wa Mikoa na viongozi mbalimbali uliofanyika leo Mei 24, jijini Dodoma kwa lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi

Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza wakati wa mkutano wa Wakuu wa Mikoa na viongozi mbalimbali uliofanyika leo Mei 24, jijini Dodoma kwa lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi

Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bwn. Mohammed Khamis Abdulla 

Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakiwa katika mkutano na viongozi kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ofisi ya Rais TAMISEMI na Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Utawala uliofanyika leo Mei 24, jijini Dodoma kwa lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi

……………………………….

Na Mwandishi Wetu, DODOMA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape NNauye amewataka wakuu wa mikoa yote 31 nchini kufanya uhakiki wa takwimu za operesheni ya Anwani za Makazi katika mikoa yao hasa katika kipengele cha usimikaji wa miundombinu ya nguzo zenye majina ya barabara na mitaa pamoja na namba za nyumba 

Akizungumza katika kikao kazi na Wakuu wa Mikoa kilichofanyika leo Mei 24, jijini Dodoma Waziri Nape amesema kuwa uhakiki huo ni muhimu kwa kuwa takwimu za usimikaji wa miundombinu hiyo zinaonesha zipo chini ukilinganisha na uhalisia wa kilichotekelezeka katika mikoa ambayo kwa nyakati tofauti yeye binafsi pamoja na viongozi wengine walipita kukagua na kuridhika na utekelezaji

Ameongeza kuwa ifikapo siku ya Ijumaa Mei 27, Wizara hiyo itakuwa imepeleka fedha kwenye mikoa yote kwa ajili ya kufanya zoezi la uhakiki na kuweka takwimu sawa kulingana na uhalisia ili taarifa itakayowasilishwa ikiwa imesainiwa na Mkuu wa Mkoa husika iwe sahihi na ndio itakayokabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan

“Ukiangalia hali ya takwimu kwa mfano mkoa wa Lindi inaonekana ni asilimia mbili tu ya physical signs ndio imetekelezwa, lakini uhalisia haupo hivyo kwa kuwa nimepita mikoa mingi hadi Zanzibar nimejionea lakini bado takwimu zinaleta utata hivyo niwaombeni sana twendeni tukahakiki ili sisi na nyie tuzungumze lugha moja kwa kupata takwimu halisi”, Amezungumza Waziri huyo

Waziri Nape amesema kuwa,” Zoezi hili la Anwani za Makazi limethibitisha uwepo wa Serikali za Mitaa zilizo imara na zinazomwakilisha vizuri Rais wetu na kama mtu ana mashaka na uimara wenu Wakuu wa Mikoa mie nitakuwa balozi wenu kwasababu nimepita katika mikoa nimekagua na nimeridhika lakini pia ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Ardhi na TAMISEMI wamepita kukagua na wamejionea mmefanya kazi nzuri sana”.

Aidha Waziri Nape ametumia kikao hicho kupenyeza ajenda ya Wizara anayoisimamia ya kuipeleka nchi katika uchumi wa kidijitali ambapo Wizara hiyo imejipanga kufanya semina kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala ili kuzungumzia uchumi wa kidijitali unaendaje, nini kinatakiwa kufanyika na maeneo wanayopaswa kushiriki 

Kwa Upande wa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. David Silinde amewataka Wakuu wa Mikoa kusimamia Kanuni za utekelezaji wa Anwani za Makazi ambazo ndio msingi wa utekelezaji wa zoezi hilo ikiwa ni pamoja na kuwabana watendaji kutumia fedha za mapato ya ndani bila kuathiri wala kutumia fedha zilizotengwa kwa ajili ya miradi mingine ya maendeleo

Kwa upande wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa zoezi la utambuzi wa makazi ya watu ni moja ya eneo muhimu litakalosaidia nchi kuingia kwenye uchumi wa kidijitali ambao hauna mipaka na unaoruhusu wananchi kujihusisha na shughuli za kiuchumi mahali walipo 

 “Niwashukuru sana wakuu wa mikoa kwa kufanya kazi hii kwa kiwango cha juu na ufanisi mkubwa ambapo sasa tumefikia asilimia 106.62 ya utambuzi wa makazi ambapo asilimia hizi zimedhihirisha kuna makazi tuliyokuwa hatuyatambui awali na kupitia zoezi hili tumeyatambua na yatajumuishwa kwenye mipango ya maendeleo 

Amesema kuwa kuna mafanikio mengi yamepatikana kupitia mfumo huo ikiwa ni pamoja na mfumo wa utambuzi wa NaPA ambao ni endelevu na utasaidia nchi kuendelea kutambua na kuhifanyi anwani za makazi na kutimiza nia ya Wizara hiyo ya kuifanya nchi kuwa na uchumi wa kidijitali sambamba na huduma za TEHAMA kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, minara ya mawasiliano, ujuzi na matumizi ya  mifumo pamoja na usalama wa mitandao 

Naye Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Utawala Kasper Mbuya, amewashukuru na kuwapongeza wakuu wa mikoa, makatibu tawala na wataalamu kwa kazi nzuri ya kutekeleza maelekezo na maagizo yaliyotolewa na Rais na zoezi linalofuata la uhakiki ni kuboresha kwa ajili ya kupata takwimu halisi ya kilichotekelezwa

Akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa, Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainab Telack amesema kuwa wakuu wa mikoa ndio timu ya ushindi katika shughuli zote za Serikali zinazoelekezwa katika mikoa yote ya Tanzania bara na Zanzibar kinachotakiwa kufanyika ni kuboresha huduma za mawasiliano ya intaneti ili kusaidia kuboresha utekelezaji endelevu wa mfumo wa Anwani za Makazi nchini

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Clarence Ichwekeleza amesema utekelezaji wa mfumo wa Anwani za Makazi ni mfumo wa msingi utakaowezesha uchumi wa kidijitali na ulianza kutekelezwa mwaka 2010 na jitihada nyingi zimefanyika baada ya hapo lakini bado lengo halikutimia mpaka baada ya zoezi hilo kuwa operesheni maalumu utekelezaji umekuwa na mafanikio makubwa kwa muda mfupi

About the author

Alex Sonna