Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza Β na Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko bungeni jijini Dodoma, Mei 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira , Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Mei 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)