Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

piabellacasino

timebet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

WIZARA YA ELIMU YAWATUNUKU TUZO WASHINDI WA INSHA  EAC NA SADC

Written by Alex Sonna

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar,akikabidhi vyeti  mbalimbali kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa tuzo kwa wanafunzi ambao ni washindi wa uandishi wa insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 huku ikiwasisitiza  kutumia uwezo wao binafsi katika kuandika insha badala ya kutegemea matumizi ya teknolojia ya Akili Mnemba.

Akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo hizo leo Oktoba 26,2025 jijini Dodoma Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt.Hussein Omar  amesema kuwa uandishi wa insha ni sehemu ya mafunzo na inawajengea wigo mpana wa kujifunza masuala muhimu yanayohusu jumuiya hizo.

“Nawaomba wanafunzi kujiepusha na matumizi ya Akili Mnemba katika kuandika insha zenu kwa sababu kwanza itakuwa sio uhalisia wa uandishi wenu, lakini pia ni aina ya udanganyifu ambao utawatoa kwenye kinyang’anyiro cha ushindani,” amesema Dkt.Omar

Aidha, amewataka wanafunzi kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kwa ufasaha katika kufanya tafiti ili kuongeza maarifa kuhusu shughuli, malengo na mipango ya jumuiya hizo mbili.

Aidha amesema kuwa  ushindi huo ni ishara ya ubora wa elimu nchini na juhudi za pamoja za walimu, wakuu wa shule, na wizara husika katika kuandaa wanafunzi wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kujenga hoja.

“Ninafarijika kuona wanafunzi wetu wanaongoza katika ngazi za kikanda, jambo linaloonyesha kuwa Tanzania inaendelea kufanya vizuri katika kukuza elimu bora na ubunifu kwa vijana wake,” amesema

Pia ametoa wito kwa wakuu wa shule na waratibu wa insha kuhakikisha wanafunzi wote wanashiriki kikamilifu katika mashindano hayo kwa kufuata miongozo iliyowekwa, huku akisisitiza umuhimu wa kuhamasisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu kushiriki.

“Wakuu wa shule ni wasimamizi wakuu wa mashindano hayo, hivyo wanapaswa kuhakikisha wanafunzi wanashiriki kikamilifu na kufuata taratibu za uandishi ili kuepuka kuondolewa katika hatua za usahihishaji,” ameongeza Dkt.Omar

Kwa upande wake Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene  Mtahabwa,amesema mashindano hayo yamekuwa kichocheo kikubwa cha kukuza umahiri wa wanafunzi katika uandishi, utafiti, na ufahamu mpana wa masuala ya kijamii, kiuchumi na kisiasa katika jumuiya hizo mbili za kikanda.

“Mashindano hayo yamekuwa chachu kwa vijana kufanya utafiti, kujifunza na kuelewa vyema hatua za uimarishaji mahusiano baina ya nchi wanachama na umuhimu wa muunganiko huu wa kikanda,” amesema  Dkt. Mtahabwa.

Dkt. Mtahabwa amewapongeza washindi wote wa kitaifa na kikanda, akiwemo Hollo Alice Kadala kutoka Shule ya Sekondari Msalato, aliyeshika nafasi ya tatu kitaifa na ya tatu kikanda katika mashindano ya SADC mwaka 2023, pamoja na Blandina Kabalemesa wa Shule ya Sekondari Anwarite, aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa na ya nne kikanda katika mashindano ya EAC mwaka 2024.

“Hawa wanafunzi ni mfano bora wa kuigwa. Ushindi wao unaonyesha juhudi na ubora wa elimu yetu. Tunawapongeza walimu, wazazi na waratibu wote kwa malezi bora na mwongozo uliowezesha mafanikio haya,” amesema 

Awali, Mratibu wa Insha kutoka Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Bi.Matuha Masati,ameipongeza Sekretarieti ya  Afrika Mashariki na Jumuiya ya Nchi za SADC Kwa kuendesha Mashindano ya Uandishi wa Insha kwani yamekuwa chachu Kwa vijana kufanya utafiti,kujifunza na kufahamu vizuri mchakato na hatua mbalimbali za uimarishaji Kwa nchi wanachama.

Amesema kuwa mashindano hayo husimamiwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) kwa insha za nchi za Afrika Mashariki (EAC) na za SADC husimamiwa na Wizara ya Elimu kwa upande wa Tanzania bara na Zanzibar.

Amesema kuwa  jumla ya wanafunzi 1,096 walishiriki katika mashindano ya uandishi wa insha za EAC na SADC mwaka 2023, wakiwemo wanafunzi 557 wa EAC na 539 wa SADC, huku mwaka 2024 ukishirikisha wanafunzi 892, kati yao 243 wa SADC na 649 wa EAC.

“Kwa sasa, Wizara inatoa tuzo kwa washindi 10 bora wa kitaifa kwa kila shindano, tofauti na ilivyokuwa awali ambapo walipewa tu washindi watatu wa juu. Hatua hii imeongeza hamasa kubwa kwa wanafunzi kushiriki,” amesema 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar,akizungumza wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene M. Mtahabwa,akizungumza wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Mratibu wa Insha wa kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Bi. Matuha Massati, akitoa maelezo wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Hollo Alice Kadala kutoka Shule ya Sekondari Msalato, aliyeshika nafasi ya tatu kitaifa na ya tatu kikanda katika mashindano ya SADC mwaka 2023,akizungumza  wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar, (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar, (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar, (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar, (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar,akikabidhi vyeti  mbalimbali kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar,akikabidhi vyeti  mbalimbali kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar,akikabidhi vyeti  mbalimbali kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein Omar,akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2023 na 2024 hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2025  jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna