Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

jojobet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

Gameofbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

MAJALIWA ATOA MIEZI MIWILI KWA WATUMISHI 30  WALIOTAFUNA FEDHA ZA UMMA SENGEREMA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa halmashauri  za Sengerema na Buchosa kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Sengerema mkoani Mwanza.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akionesha kitabu cha taarifa ya uchunguzi malum wa Mdibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) chenye orodha ya majira ya watumishi wa halmashauri ya wilaya ya sengrema waliotajwa kutumia fedha za umma kinyume cha utaratibu. Alipokuwa akizunguma na watumishi wa halmashauri za Sengerema na Buchosa kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Sengerema.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Kaimu Kamanda wa TAKUKURU wa Mkoa wa Mwanza Mashauri Elisante majina ya watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema ambao wametajwa katika ripoti maalum ya CAG kwa kutumia Fedha ya  umma kinyume cha uraratibu. Alipokuwa akizungumza na watumishi wa halmashauri za Sengerema na Buchosa Kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Sengerema.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Sengerema mkoa wa Mwanza wakiwa na shauku ya kumuona Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipowasili shuleni hapo kuzungumza na watumishi wa halmashauri za Sengerema na Buchosa, Mei 7, 2022. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)

………………………………………………

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi miwili kwa watumishi 30 wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Magesa Mafuru wawe wame merejesha fedha za umma walizozitumia kinyume na utaratibu.

 Mheshimiwa Majaliwa amemkabidhi Kaimu Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mwanza, Bw. Mashauri Elisante majina ya watumishi hao kwa hatua zaidi. “Kama kuna mtumishi wa umma anayedhani kwamba awamu hii ni ya mchezo anajidanganya Serikali itashughulika nae. Wakuu wa Mikoa na wilaya wachukue hatua ili kujenga nidhamu kwa watumishi.”

 “Taarifa ya uchunguzi maalum uliofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa fedha za miradi ya maendeleo imethibitisha kwamba  baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema hawaendi sambamba na matarajio ya Serikali ya awamu ya sita suala ambalo halikubaliki.”

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Jumamosi, Mei 7, 2022) wakati akizungumza na Madiwani na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Sengerema akiwa katika ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za maendeleo zinazotekelezwa mkoani Mwanza. Amemtaka Mkuu wa Wilaya hiyo ahakikishe watu wote waliotajwa wanarejesha fedha hizo kwa wakati.

Mheshimiwa Majaliwa amewataja watumishi wanaotuhumiwa katika ubadhirifu huo kuwa ni pamoja na aliyekuwa Mweka Hazina kwa kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato, Watendaji wa Kata tisa na Watendaji wa Vijiji watatu, Maafisa Uvuvi sita, Afisa Mifugo mmoja, Mawakala wa Makusanyanyo wanane na Afisa Mapato mmoja.

Amesema taarifa hiyo ya CAG imeonesha uwepo wa tuhuma kuhusu udanganyifu na matumizi mabaya ya fedha za umma katika miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo. “Serikali haiwezi kuwavumilia na itachukua hatua kali kwa wote waliohusika na ubadhilifu huo.”

Amesema uchunguzi huo ulifanyika baada ya CAG kupokea tuhuma kuhusu udanganyifu na matumizi mabaya ya fedha za umma kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Taarifa hiyo aliipokea Januari 10, 2021.

Waziri Mkuu amesema baada ya uchunguzi huo CAG alibaini kwamba halmashauri hiyo ilikusanya shilingi bilioni 3, 027,518,982 katika mfumo wa kukusanyia mapato (LGRCIS) pamoja na namba za utambulisho 87.

“Hata hivyo kiasi cha shilingi milioni 645,245,926 ya makusanyo hayo haikuwasilishwa benki na wakusanyaji kinyume na utaratibu. Pia shilingi milioni 115,158,750 kilioneshwa kwenye mfumo wa kukusanya mapato kama makusanyo ya fedha taslimu wakati ilikuwa ni miamala iliyokosewa.”

Waziri Mkuu amesema kuwa kiasi kingine cha shilingi milioni 79,578,395 zilitumika kugharamia shughuli za halmashauri ambazo hazikuainishwa na shilingi milioni 280,234,248 zililipwa kwa mawakala wa ukusanyaji kama kamisheni kwa idhini ya Mkurugenzi Mtendaji wa wakati huo bila ya fedha hizo kuingizwa kwanza benki kama sheria inavyoelekeza.

Amesema kuwa kiasi cha shilingi milioni 7,226,800 hakikukusanywa kufuatia leseni mbili za biashara namba 17 na namba 71 kutolewa kwa bei pungufu na kutolipwa gharama za leseni. Hata hivyo kiasi cha shilingi milioni 227,735,099 za leseni ya huduma hakikukusanywa kutoka kwa makampuni na taasisi mbalimbali na halmashauri.

“Kiasi cha shilingi milioni 652,989,548 kiliekezwa kwenda kutekeleza miradi ya maendeleo kwa mwaka 2018/2019 na 2019/2020 kutoka katika makusanyo ya ndani ya halmashauri licha ya kuwa kwenye bajeti hazikukupelekwa kwenye miradi husika.

 “Halmashauri haikukusanya jumla ya Shilingi 141,838,305.24 kutoka katika mradi wa upimaji wa viwanja eneo la Nyakato, Isamilo, Kilabela, Nyamatongo na Busisi katika mwaka wa fedha 2018/2019 na kusababisha kutorejesha kiasi cha shilingi milioni 65.2 kilichoazimwa kutoka Wizara ta Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajiri ya mradi huo.”

Kufuatia ubadhilifu huo, Mheshimiwa Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kote wafuatilie taarifa za fedha zote zilizopelekwa kwenye miradi katika Halmashauri zao na waimarishe usimamizi kwa kuzingatia thamani ya fedha na muda wa utekelezaji.

“Wakuu wa Mikoa na Wilaya wote kuwasilisha kwa Kamati za Siasa za Mikoa na Wilaya Taarifa za Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa katika kipindi cha mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita ifikapo tarehe 20 Mei, 2022.  Lengo ni kuwawezesha Viongozi wa Chama katika ngazi husika kuifahamu, kuikagua na kuitolea taarifa kwa Wananchi.”

Kadhalika, Waziri Mkuu amesisitiza  kuwa watumishi wa umma  wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii, weledi, uadilifu, nidhamu, maarifa na ubunifu.   “Nawasihi nyote muache kufanya kazi kwa mazoea, mbadilike na kuenenda sawa na matakwa na maelekezo ya Serikali ya Awamu ya Sita.”

Pia, Waziri Mkuu amewataka watendaji mbalimbali wajenge utaratibu wa kusikiliza hotuba mbalimbali za viongozi wakuu wa nchi na kuyafanyia kazi maelekezo yanayohusu maeneo yao.

About the author

Alex Sonna