Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO JUMA DUNI HAJI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji aliyefika Ikulu Tunguu tarehe 05 Mei, 2022 kwa ajili ya kujitambulisha kwa Mhe. Rais mara baada ya kuchaguliwa katika wadhifa huo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.

About the author

mzalendoeditor