Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Joseph Mushy, awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Austria, Mhe. Alexander Van der Bellen, leo tarehe 05 Mei 2022
Januari 2022, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alimteua Balozi Mushy kuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria.